SEKTA YA MAJI IMEBORESHA HUDUMA BORA KWA WAJASIRIAMALI KISARAWE - JAFFO
Mgeni rasmi wa Tamasha hilo lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jaffo akiambatana na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu na Mbunge wa Viti Maalumu Pwani Zainabu Vullu.
Akizungumza na wananchi wa Kisarawe , Jaffo amewataka wananchi wa Kisarawe kulinda miundo mbinu ya maji kwani serikali imetumia gharama kubwa kuweza kufanikisha mradi huo mkubwa wa maji.
Amesema, kiasi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji
Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37 kutokana na mawazo yao juu ya namna Serikali na wananchi wanavyoweza kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji.
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...
10 years ago
Michuzi17 Feb
NHIF YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WASIO KATIKA SEKTA RASMI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/157.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Feb
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF yaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wasio katika sekta rasmi
Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke, Bi Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Februari 17,2015 lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya...
10 years ago
Habarileo11 Jul
Ufaransa yatoa bil 222/- kwa sekta ya maji
SERIKALI ya Tanzania na serikali ya Ufaransa wametiliana saini mikataba mitatu ya mikopo inayolenga kuisaidia Tanzania katika sekta ya maji na umeme.
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa watejaâ€
MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.
Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja
Dar es Salaam, Jumanne...
10 years ago
Michuzi14 Dec
PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/unnamed267.jpg)
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA TANGA AUSIFU MFUKO WA GEPF KWA UBUNIFU NA HUDUMA BORA KWA WATEJA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CcIroERmUZI/XlnuVhLq4zI/AAAAAAALgAk/Bkw3g_lbj2cBGmDAt64qJr3h3FCMjo0egCLcBGAsYHQ/s72-c/47e3fce5-a0ac-49b4-a230-566423910ef2.jpg)
JAFO APONGEZA KAZI KUBWA INAYOFANYWA NA DC JOKATE KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA KISARAWE
Akizungumza wakati akifungua kongamano la ‘Mama lishe’ lililowakutanisha mama lishe mbalimbali wilayani humo, Waziri Jafo pia alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa Wilaya...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Jafo apania kumaliza kero ya maji Kisarawe
“MAISHA niliyoishi ndiyo yanayonifanya nisizembee kuwatumikia wananchi katika hii nafasi ya ubunge niliyoipata, natambua wapo wanaoishi kama nilivyokua mimi awali, hii inanifanya nisilewe madaraka niliyo nayo. “Kila nikirudi jimboni kwangu,...