Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jafo apania kumaliza kero ya maji Kisarawe

“MAISHA niliyoishi ndiyo yanayonifanya nisizembee kuwatumikia wananchi katika hii nafasi ya ubunge niliyoipata, natambua wapo wanaoishi kama nilivyokua mimi awali, hii inanifanya nisilewe madaraka niliyo nayo. “Kila nikirudi jimboni kwangu,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasa na mikakati ya kumaliza kero ya maji

MRADI wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu na mingine inayoendelea inatarajiwa kuleta ahueni kubwa ya huduma za maji katika jiji la Dar es Salaam mara itakapokamilika. Kaimu Mkurugenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

BILIONI 15.1 KUMALIZA KERO YA MAJI MIJI YA KYAKA BUNAZI - MISSENYI.

Na Abdullatif  Yunus Michuzi TV.

Wananchi na Wakazi wa Miji ya Kyaka, Bunazi na maeneo ya jirani, Wilayani Missenyi Mkoani Kagera huenda wakaondokana na changamoto ya upatikanaji wa Huduma ya Maji inayowakabili kwa sasa, kufuatia kuanza Kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Maji ikiwa ni ahadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa kwa wakazi hao, akiwa ziarani Mkoani Kagera Mwaka Jana.

Mradi huo mkubwa unaotarajiwa kukamilika Juni 2021, umezinduliwa rasmi na Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof....

 

5 years ago

Michuzi

JAFO APONGEZA KAZI KUBWA INAYOFANYWA NA DC JOKATE KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA KISARAWE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe Seleman Jafo amesema kukamilika kwa mradi wa maji wa Wilaya ya Kisarawe ulioigharimu Serikali kiasi cha zaidi ya Sh Bilioni 10, kutazidi  kukuza maendeleo ya wilaya hiyo ambayo kwa kipindi cha hivi karibuni imeshuhudiwa ikipiga hatua kubwa kupitia sekta za elimu pamoja na afya.

Akizungumza wakati akifungua kongamano la ‘Mama lishe’ lililowakutanisha mama lishe mbalimbali wilayani humo, Waziri Jafo  pia alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa Wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

ALICHOKISEMA WAZIRI JAFO KWA RAIS DK.MAGUFULI KUHUSU KISARAWE, ASEMA YEYE NI FUNDI SELEMALA


Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemeani Jafo amemshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa kumuamini na kumteua kwenye nafasi hiyo ya uwaziri licha yeye ni fundi selemala huku akimhakikishia kuendelea kufanya kazi kwa juhudi zake.
Jafo amesema hayo leo Juni 27,2020 wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wilayani Kisarawe ambapo Rais Magufuli ameuzindua rasmi na hivyo kutatua changamoto ya tatizo la maji ambalo limewakabili kwa...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AWAPONGEZA KISARAWE KWA UBUNIFU WA TAMASHA LA MAMA LISHE, ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WOTE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, ameipongeza Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa kuandaa Tamasha la Mama Lishe ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wa mama lishe katika kuleta maendeleo.

Jafo ametumia nafasi hiyo kuwataka wakurugenzi wa halmashiri zote nchini ambao wataoshindwa kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana watachukuliwa hatua ikiwemo ya kutumbuliwa.
Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

WHC kumaliza kero za nyumba kwa watumishi?

Kuwa na makazi ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu, kwa kutambua hilo Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali kuwawezesha watumishi wake na wananchi kwa jumla kupitia mashirika mbalimbali, waweze kumiliki nyumba hata kwa njia ya mkopo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jafo: Changieni miradi ya maji

MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jafo, amewasihi wakazi wa jimbo hilo kuzingatia uchangiaji wa mfuko wa maji ili kuwezesha miradi inayotekelezwa kuwa endelevu na kuondokana na kero ya maji ambayo imekua...

 

10 years ago

Habarileo

JK aipa wiki mbili Cosota kumaliza kero za wasanii

RAIS Jakaya Kikwete amekipa wiki mbili Chama cha Hatimiliki cha Tanzania (COSOTA) kuhakikisha kinamaliza kero za wasanii hapa nchini ili wanufaike na kazi zao kama ilivyo kwa wasanii wa nje.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jafo ahimiza uchangiaji miradi ya maji

MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jafo, amewasihi wakazi wa jimbo hilo kuzingatia uchangiaji wa mfuko wa maji ili kuwezesha miradi inayotekelezwa kuwa endelevu na kuondokana na kero ambayo imekuwa ikiwakabili kipindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani