BILIONI 15.1 KUMALIZA KERO YA MAJI MIJI YA KYAKA BUNAZI - MISSENYI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-9eFBgkrbGd8/XtXqN8azKNI/AAAAAAALsRk/tN8bfSaBifYhRkrvNfZXgD_4kFPNG4vcACLcBGAsYHQ/s72-c/10501513-1037-4c3f-878d-fa89536a3cde.jpg)
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Wananchi na Wakazi wa Miji ya Kyaka, Bunazi na maeneo ya jirani, Wilayani Missenyi Mkoani Kagera huenda wakaondokana na changamoto ya upatikanaji wa Huduma ya Maji inayowakabili kwa sasa, kufuatia kuanza Kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Maji ikiwa ni ahadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa kwa wakazi hao, akiwa ziarani Mkoani Kagera Mwaka Jana.
Mradi huo mkubwa unaotarajiwa kukamilika Juni 2021, umezinduliwa rasmi na Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof....
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-g1a0duqsQsg/XsFIvVCZQ6I/AAAAAAALqlI/JfNHwjY_1AA4KHAPssyAip3uRq1E1jq7QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Mradi wa Maji wa Bil 9.4 Kyaka- Bunazi Wasainiwa
![](https://1.bp.blogspot.com/-g1a0duqsQsg/XsFIvVCZQ6I/AAAAAAALqlI/JfNHwjY_1AA4KHAPssyAip3uRq1E1jq7QCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-bDVda0gklWc/XsFIvUST_UI/AAAAAAALqlE/92tK208N6tY-6g8r37tX7R8073oqNliDgCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-hVVFpCOkEdQ/XsFIvnrAatI/AAAAAAALqlM/cSU4dbhiFSUphz7AnGdQOSu-s-wwP1feQCLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Dawasa na mikakati ya kumaliza kero ya maji
MRADI wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu na mingine inayoendelea inatarajiwa kuleta ahueni kubwa ya huduma za maji katika jiji la Dar es Salaam mara itakapokamilika. Kaimu Mkurugenzi wa...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Jafo apania kumaliza kero ya maji Kisarawe
“MAISHA niliyoishi ndiyo yanayonifanya nisizembee kuwatumikia wananchi katika hii nafasi ya ubunge niliyoipata, natambua wapo wanaoishi kama nilivyokua mimi awali, hii inanifanya nisilewe madaraka niliyo nayo. “Kila nikirudi jimboni kwangu,...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Wakazi Missenyi na hofu ya mradi mpya wa maji
“NASHANGAA kitendo kilichofanywa na Halmashauri ya Missenyi kuingilia kati mradi wa maji wa wananchi ulioanza miaka 42 iliyopita.” Hivyo ndivyo anavyosema Patricia Edward ambaye ni miongoni mwa wakazi wa Kata...
11 years ago
Mwananchi15 May
WHC kumaliza kero za nyumba kwa watumishi?
10 years ago
Habarileo08 Aug
JK aipa wiki mbili Cosota kumaliza kero za wasanii
RAIS Jakaya Kikwete amekipa wiki mbili Chama cha Hatimiliki cha Tanzania (COSOTA) kuhakikisha kinamaliza kero za wasanii hapa nchini ili wanufaike na kazi zao kama ilivyo kwa wasanii wa nje.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZtJoWbimGMo/VFI7fe-6JiI/AAAAAAAGuM8/RtH8C5jZBRM/s72-c/download.jpg)
TANESCO KUMALIZA KERO YA UMEME DAR KESHO NOVEMBA MOSI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZtJoWbimGMo/VFI7fe-6JiI/AAAAAAAGuM8/RtH8C5jZBRM/s1600/download.jpg)
Na Mwene Said
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema usumbufu wa kukatika kwa umeme uliojitokeza wiki moja iliyopita limetokana na usafi wa visima vya mafuta na kwamba hadi kufikia kesho hali itarudi kawa kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukaguzi wa mtambo wa kuchuja umeme Tandika, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Bw.Felchesmi Mramba (pichani) alisema usumbufu huo ulitokana na Kampuni ya Pan Afrika kufanya usafi kwenye visima vyake vya...
5 years ago
MichuziWIZARA YA MAJI KUTENGA SHILINGI BILIONI 2, KUPELEKA MAJI MASHULENI NA VITUO VYA AFYA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1i51vM7IjLc/XteJcAYy9aI/AAAAAAALsbw/kt3MhNSLZ3YHPhT9uHFD6bzC2V7mlnSvQCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0010.jpg)
DC BAGAMOYO AHIDI KUMALIZA KERO NA MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BANDARI YA BAGAMOYO
Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.
Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...