Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANESCO KUMALIZA KERO YA UMEME DAR KESHO NOVEMBA MOSI


Na  Mwene Said 


Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema usumbufu wa kukatika kwa umeme uliojitokeza wiki moja iliyopita limetokana na usafi wa visima vya mafuta na kwamba hadi kufikia kesho hali itarudi kawa kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukaguzi wa mtambo wa kuchuja umeme Tandika,  jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Bw.Felchesmi Mramba (pichani)  alisema usumbufu huo ulitokana na Kampuni ya Pan Afrika kufanya usafi kwenye visima vyake vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TANESCO kukomesha kero ya umeme Dar

SHIRIKA la Umeme (TANESCO), linajenga vituo vikubwa vitano vya kupozea umeme jijini Dar es Salaam ili kukomesha tatizo la kukatikatika umeme katika jiji hilo. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco; matrilioni kumaliza mgawo wa umeme nchini

Wananchi kwa muda mrefu wamekuwa wakiteseka na wakati mwingine kupata hasira kutokana na kutopata umeme wa uhakika tangu miaka ya 1980. Wakati mwingine wanapata hasira baada ya vyombo vyao kuungua kwa mfano, friji, redio na televisheni kutokana na umeme kukatika na kurejea kwa kasi .

 

9 years ago

Dewji Blog

Makatibu Wakuu na Manaibu kuapishwa kesho Januari Mosi, Ikulu jijini Dar!!

Dar_Ikulu-tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kesho Ijumaa 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika Ukumbi wa Ikulu, uliopo lango kuu litazamalo baharini kuanzia saa nne asubuhi.

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao wataapishwa na wale ambao walishaapishwa wanapaswa kuhudhuria katika tukio hili, ili...

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi 200 Dar waitaka TANESCO ishushe bei ya umeme

UMOJA wa wakazi zaidi ya 200 wa Dar es Salaam wametoa siku kumi kwa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), pamoja na vyombo vingine vya maamuzi, kubatilisha maamuzi yake juu ya bei mpya ya umeme na irejeshwe bei iliyokuwepo.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasa na mikakati ya kumaliza kero ya maji

MRADI wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu na mingine inayoendelea inatarajiwa kuleta ahueni kubwa ya huduma za maji katika jiji la Dar es Salaam mara itakapokamilika. Kaimu Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

WHC kumaliza kero za nyumba kwa watumishi?

Kuwa na makazi ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu, kwa kutambua hilo Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali kuwawezesha watumishi wake na wananchi kwa jumla kupitia mashirika mbalimbali, waweze kumiliki nyumba hata kwa njia ya mkopo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani