Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SELCOM YAMWAGA MAPESA KWA WASHINDI WA SHINDA NA SELCOM

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Khalid Kasim mkazi wa mbagala Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi alinunua LUKU kwa wakala wa SelcomMeneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Shafii Liumbo mkazi wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SELCOM YALETA MFUMO MPYA NA WA KISASA WA MALIPO YA TIKETI ZA TAMASHA LA “KILIFEST” KWA KUTUMIA “SELCOM CARD”

Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania wahudhuriaji wa tamasha la ‘KiliFest’ wataweza kutumia Selcom Card kupata tiketi za tamasha hilo lililoandaliwa na kampuni ya Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambalo litafanyika siku ya Jumamosi September  26, 2015 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam.
Kati ya mawakala wa Selcom zaidi ya 15,000 wanaopatikana nchi nzima ni mawakala 40 tu wameochaguliwa kuuza tiketi za KiliFest kwenye vituo vyao na wote hao wanapatikana Dar es salaam. 
Baada...

 

10 years ago

Vijimambo

SELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akiwa na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta wakati wa uzinduzi wa mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic mkoa wa MorogoroMeneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekezaKaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bakari Sagini jinsi ya kutumia mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SELCOM KUIWEZESHA MANISPAA YA MOROGORO KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akimkabidhi Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori mkataba wa makubaliano ya kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato anayeshudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta. Makabidhiano hayo yamefanyika Morogoro Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akionesha mkataba walio saini na kampuni ya Selcom Tanzania baada ya kutiliana saini kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato katikati ni...

 

10 years ago

Michuzi

SELCOM YAWEZESHA MALIPO YA PANGO YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) KWA NJIA YA MTANDAO




Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika ulipaji wa kodi za majengo ya NHC. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akielezea kwa waandishi wa habari jinsi huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya Simu na akaunti za Benki inavyofanya kazi.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mwananchi

UKIUKAJI WA SHERIA: Selcom yazuiwa kuuza Luku

>Serikali imefuta mkataba wake na kampuni ya Selcom iliyokuwa inauza umeme wa Luku kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ubabaishaji katika kutoa huduma hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

Selcom Yapigwa Marufuku Kuuza Umeme wa LUKU


Serikali imefuta mkataba wake na kampuni ya Selcom iliyokuwa inauza umeme wa Luku kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ubabaishaji katika kutoa huduma hiyo.
Pia kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikinunua umeme wa jumla kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) imesitishiwa mkataba huo kutokana na kukiuka sheria na taratibu za ulipaji wa kodi.Hata hivyo, mkurugenzi mtendaji wa Selcom, Sameer Hirji hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo.
“Siwezi kuzungumzia chochote kuhusu hilo (mkataba). Tutakuwa na mkutano...

 

10 years ago

Vijimambo

WATEJA WA SELCOM KUJINYAKULIA TSH 100,000 KILA SIKU

Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa huduma za kampuni hiyo kujishindia Tsh 100,000 ambapo washindi kumi watajishindia kitita hicho kila wiki na shindano hilo litadumu hadi mei 31 kulia ni Meneja Miradi wa Kampuni hiyo Gallus RunyetaMeneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akibonyeza kitufe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani