UKIUKAJI WA SHERIA: Selcom yazuiwa kuuza Luku
>Serikali imefuta mkataba wake na kampuni ya Selcom iliyokuwa inauza umeme wa Luku kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ubabaishaji katika kutoa huduma hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-87lL65vXbcw/VUOIciX9CvI/AAAAAAAAtCI/mnd0524qdUY/s72-c/bembeleza.jpg)
Selcom Yapigwa Marufuku Kuuza Umeme wa LUKU
![](http://1.bp.blogspot.com/-87lL65vXbcw/VUOIciX9CvI/AAAAAAAAtCI/mnd0524qdUY/s640/bembeleza.jpg)
Serikali imefuta mkataba wake na kampuni ya Selcom iliyokuwa inauza umeme wa Luku kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ubabaishaji katika kutoa huduma hiyo.
Pia kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikinunua umeme wa jumla kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) imesitishiwa mkataba huo kutokana na kukiuka sheria na taratibu za ulipaji wa kodi.Hata hivyo, mkurugenzi mtendaji wa Selcom, Sameer Hirji hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo.
“Siwezi kuzungumzia chochote kuhusu hilo (mkataba). Tutakuwa na mkutano...
10 years ago
Habarileo03 Mar
Tanesco yakiri matata mfumo wa kuuza Luku
SHIRIKA la Ugavi na Usambazaji wa Umeme nchini (TANESCO), limekiri kuwepo na matatizo ya mfumo wa kununua Luku, ulioanza Ijumaa jioni wiki iliyopita hadi jana na kuwa matatizo hayo yanatokana na mfumo wa kuuza umeme wa Luku.
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Rushwa, ukiukaji wa sheria vyagundulika katika kampeni
Mtandao wa Asasi za Kiraia wa Kufuatilia Uchaguzi Tanzania (Tacceo), umetoa taarifa ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi wa urais, ubunge na udiwani na kubaini mambo mbalimbali, ikiwamo matumizi ya rushwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvRWzt6-5QqekWpiVoG*ympu4ffG1OGHOVn*6vucEVo1vSHjzvBYxy75oPy89nee2rmsWEF4OP8KoFnp*BJKzR60/001.ROAD.jpg?width=650)
WANANCHI WATAKIWA KUTOA TAARIFA ZA UKIUKAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Naibu kamishna wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani, SACP Johanes Kahatano (katikati) akiwafafanulia jambo Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kushoto), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi wa Polisi Mohamed Mpinga, na Mkurugenzi wa Radio One Stereo, Deogratius Rweyunga kuhusiana na kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama “Zuia...
10 years ago
VijimamboSELCOM YAMWAGA MAPESA KWA WASHINDI WA SHINDA NA SELCOM
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-K0r-oAycC4Q/Vf-bdG7RmlI/AAAAAAAAH30/QqiJyrbKGCc/s72-c/Selcom%2BCard%2BTicketing%2BBlog%2B.jpg)
SELCOM YALETA MFUMO MPYA NA WA KISASA WA MALIPO YA TIKETI ZA TAMASHA LA “KILIFEST” KWA KUTUMIA “SELCOM CARD”
![](http://2.bp.blogspot.com/-K0r-oAycC4Q/Vf-bdG7RmlI/AAAAAAAAH30/QqiJyrbKGCc/s1600/Selcom%2BCard%2BTicketing%2BBlog%2B.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-K0r-oAycC4Q/Vf-bdG7RmlI/AAAAAAAAH30/QqiJyrbKGCc/s1600/Selcom%2BCard%2BTicketing%2BBlog%2B.jpg)
Kati ya mawakala wa Selcom zaidi ya 15,000 wanaopatikana nchi nzima ni mawakala 40 tu wameochaguliwa kuuza tiketi za KiliFest kwenye vituo vyao na wote hao wanapatikana Dar es salaam.
Baada...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HRXB3pTHxIqzvKYnnppcQi0HSDtwkA1zBq8o050c2PmplFfcsMOQBrQQgx-o0wfwfOpDt28tqEKTWJTCvA6dJSmTM88ByCF9/basataLOGO.jpg?width=300)
BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO NA UKIUKAJI WA SHERIA ZA UENDESHAJI KUMBI ZA BURUDANI KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU YA PASAKA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi. Wanaelekezwa kuhakikisha wanakuwa na vibali halali vya uendeshaji wa kumbi zao, kuzingatia muda wa utumizi wa kumbi, kuepuka kelele zinazosumbua kwenye maeneo maalum hasa makazi ya watu na...
10 years ago
Michuzi17 Jul
BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO NA UKIUKAJI WA SHERIA ZA UENDESHAJI KUMBI ZA SANAA NA BURUDANI KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU YA EID-EL-FITR
![download (9)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/download-9.jpg)
10 years ago
Michuzi29 Dec
MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA
Na Bashir YakubKatika adhima ya ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa.
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi ni kusema kuwa hisa ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi ni kusema kuwa hisa ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania