Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sera ya EU kuzuia wahamiaji yakosolewa

Umoja wa Ulaya umeshutumiwa kwa kuhatarisha maisha ya wahamiaji kutoka Afrika kwa kupunguza shughuli za uokoaji baharini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

EU kuzuia meli za wahamiaji baharini

EU imeanzisha operesheni inayohusisha kuzuiwa kwa meli zinazowasafirisha wahamiaji wanaotaka kufika Ulaya bahari ya Mediterranean.

 

9 years ago

BBCSwahili

EU kutumia kikosi maalum kuzuia wahamiaji

Viongozi wa muungano wa Ulaya, wamesema kuwa wataharakisha juhudi za kuunda kikosi cha pamoja cha kulinda mipaka kukabiliana na tatizo la wahamiaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mavazi ya watoto wa Obama yakosolewa

Watoto wa rais wa Marekani Barrack Obama,Sasha na Malia wameshtumiwa kwa kukosa heshima na afisa mmoja wa chama cha Republican

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa

Pre-Exposure Prophylaxis (PrEP) - ni dawa inayoweza kutoa kinga dhidi ya maambukizi ya ukimwi iwapo itatumika kabla ya kushiriki ngono.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHANETA Taifa Cup yakosolewa

WAKATI michuano ya netiboli kuwania Kombe la Taifa ‘CHANETA Taifa Cup’ ikiendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imekosolewa kutokana na kutawaliwa na wachezaji wa Dar es Salaam....

 

11 years ago

Mwananchi

Hotuba ya mwezi ya Rais Kikwete yakosolewa

>Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa hotuba yake mwisho wa mwezi, watu mbalimbali wamesema Rais hawezi kukwepa lawama za kuvuruga mchakato wa katiba.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ethiopia yakosolewa kwa kufanya udukuzi

Shirika la kutetea haki za binadamu la Huma Rights Watch limeituhumu serikali ya Ethiopia kwa kufanyia udukuzi simu na kompyuta za wapinzani

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook yakosolewa kuhusu fedha za Assad

Shirika moja la misaada limeitaka Facebook kurejesha fedha ilizopata kwa kufanya matangazo ya kampeni ya rais Bashar al-Assad wa Syria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

KCU Kagera yafikisha lengo, yakosolewa

CHAMA Kikuu cha Ushirika cha KCU (1990) LTD hadi Januari 31, mwaka huu kimekusanya jumla ya tani 3, 753 za kahawa bora kwa maana ya asilimia 50.04 ya lengo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani