Serikali ifanyie kazi ombi la Watoto wa Mitaani Mwanza
TIMU ya soka ya taifa inayoundwa na watoto wa mitaani, Jumapili iliyopita iliiweka Tanzania katika medani ya kimataifa, baada ya kubeba ubingwa wa dunia kwa kuifunga Burundi katika mashindano hayo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Feb
MAONI: Nec ifanyie kazi malalamiko ya wananchi
9 years ago
Mwananchi28 Aug
NEC ifanyie kazi tuhuma za kadi za kupigia kura
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Prof Kahigi: Serikali ifanyie mabadiliko sekta ya elimu
MBUNGE wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahigi (CHADEMA), ameitaka serikali kuifanyia mabadiliko sekta ya elimu kwa kuzingatia hali ya utandawazi iliyopo, ili kuepukana na changamoto mbalimbali zinazojitokeza. Profesa Kahigi alitoa ushauri...
9 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
9 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Tusiwanyanyapae watoto wa mitaani
HIVI sasa kuna wimbi la watoto wa mitaani katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambao hawana uangalizi kama walivyo watoto wengine. Ni fursa sasa kwa jamii kujiuliza...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Watoto wa mitaani wanavyobakwa Sumbawanga
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Watoto wa mitaani Arusha kujengewa hostel
Baadhi ya Watoto wa mitaani waishio jijini Arusha waliokusanywa na taasisi ya GOLA Foundation inayolenga kuwasaidia watoto wa mitaani kukabiliana na changamoto za ukosefu wa malazi,chakula,mavazi na pia elimu.Jamii inaombwa kujitokeza kusaidia watoto hao
Watoto wa mitaani wanaoishi jijini Arusha katika mazingira hatarishi wanatarajiwa kujengewa Hostel zitakazowasaidia kuondokana na adha ya kupata sehemu za malazi hivyo kulazimika kulala maeneo ya stendi za mabasi na masoko.
Mkurugenzi wa...