SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA UVUVI
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na uvuvi Bi Judith Mhina akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusu mradi wa udhibiti wa uvuvi na maendeleo shirikishi Kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi “SWIOFISH” leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bi Fatma Sobo.
Afisa Uvuvi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bw. Silas William akitoa ufafanuzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTOUCH FOUNDATION KUENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA TANZANIA
Touch Foundation , Taasisi isiyo ya kiserikali na yenye makao yake nchini Marekani, mwishoni mwa wiki (Mei 8), imeadhimisha miaka kumi ya kazi zake na kuahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania na Taasisi nyingine katika uboreshaji na uimarishaji wa sekta ya afya nchi.
Katika hafla iliyojulikana kama Asante Supper 2014, ilihusisha pia utoaji wa tuzo kwa wadau mbalimbali ambao wamekuwa nguzo muhimu ya Taasisi hiyo. Asante Supper ilihusisha pia...
11 years ago
Mwananchi16 Oct
Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa
5 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI ULEGA AWATAKA MAAFISA UVUVI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA SEKTA YA UVUVI


5 years ago
MichuziNBC WAENDELEA KUUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA SEKTA YA KILIMO, UVUVI NA UFUGAJI
Hayo yamesemwa wakati wa Mkutano wa wadau katika Kuongeza tija kwenye sekta ya kilimo na mifugo kwa maendeleo ya Viwanda.
Mkutano huo uliodhaminiwa na Benki ya Biashara ya NBC, umeweza kuhudhuriwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa, Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina na Naibu Waziri wa...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...
5 years ago
Habarileo16 Feb
Kamati za uvuvi zapewa wiki kuimarisha usafi
IDARA ya Maendeleo ya Uvuvi imetoa muda wa wiki kwa kamati za uvuvi za shehia kuimarisha mazingira ya usafi katika masoko yanayotumika kwa ajili ya kutoa huduma za kunadi samaki.
11 years ago
Habarileo06 Mar
Doria za uvuvi haramu kuendelea
DORIA za maeneo ya hifadhi ya uvuvi, Unguja na Pemba kwa kiasi kikubwa zimepunguza uvuvi haramu uliokuwa ukifanywa na wavuvi wasiokuwa waaminifu. Mkuu wa Doria wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Shomari alisema doria hizo zinazowashirikisha wavuvi kutoka katika kamati za uvuvi za shehia zimefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu kwa asilimia kubwa.