Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TOUCH FOUNDATION KUENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA TANZANIA

Na Mwandishi Maalum
Touch Foundation , Taasisi isiyo ya kiserikali na yenye makao yake nchini Marekani, mwishoni mwa wiki (Mei 8), imeadhimisha miaka kumi ya kazi zake na kuahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania na Taasisi nyingine katika uboreshaji na uimarishaji wa sekta ya afya nchi.
Katika hafla iliyojulikana kama Asante Supper 2014, ilihusisha pia utoaji wa tuzo kwa wadau mbalimbali ambao wamekuwa nguzo muhimu ya Taasisi hiyo. Asante Supper ilihusisha pia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA UVUVI

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na uvuvi Bi Judith Mhina akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusu mradi wa udhibiti wa uvuvi na maendeleo shirikishi Kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi “SWIOFISH” leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi  Msaidizi Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi   Bi Fatma Sobo. Afisa Uvuvi kutoka  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bw. Silas William akitoa ufafanuzi...

 

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.

Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote.  Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wawekezaji wapongezwa kuimarisha sekta ya afya

WAWEKEZAJI wamepongezwa kwa kushirikiana na jamii katika kujenga miradi mbalimbali ambayo itasaidia kuleta maendeleo na kuimarisha Sekta ya Afya. Kauli hiyo ilitolewa na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi alipofungua hospitali ya kisasa ya akinamama wajawazito katika eneo la Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini

01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.

02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbinu za kuimarisha sekta ya elimu Tanzania

Hali ya elimu nchini hairidhishi. Matokeo yasiyoridhisha ya wahitimu wa darasa la saba na kidato cha nne katika miaka ya hivi karibuni yanatosha kuwa kiashiria cha hali mbaya inayoikabili sekta ya elimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbinu 10 za kuimarisha sekta ya elimu Tanzania

Hali ya elimu nchini hairidhishi. Matokeo yasiyoridhisha ya wahitimu wa darasa la saba na kidato cha nne katika miaka ya karibuni, yanatosha kuwa kiashiria cha hali mbaya inayoikabili sekta ya elimu.

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akihutubia katika ufunguzi rasmi wa Semina ya Ushirikiano wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency ya Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway, Mhe. Monica Maeland, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Norway nchini, Mhe. Hanna-Marie Kaarstad na wadau...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani