Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kutotaifisha tena shule, hospitali

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali haitataifisha shule, zahanati, hospitali wala vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kidini na amewahimiza wajenge zaidi na zaidi ili kuisaidia jamii kubwa ya Watanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI HAITATAIFISHA SHULE WALA HOSPITALI - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali haitataifisha shule, zahanati, hospitali wala Vyuo Vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kidini na amewahimiza wajenge zaidi na zaidi ili kuisaidia jamii kubwa ya Watanzania.
Ametoa wito huo wakati akizungumza na walimu, wazazi na wahitimu wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Magnificat iliyoko Sanya Juu, wilayani Siha mkoani Kilimanjaro.
Waziri Mkuu ambaye aliwasili Sanya Juu jana asubuhi (Jumamosi, Septemba 20, 2014) akitokea Dodoma, alisema huko...

 

9 years ago

BBCSwahili

Shule zafunguliwa tena Kenya

Shule nchini Kenya zimefunguliwa tena baada ya walimu kusitisha mgomo wao uliokuwa umedumu kwa wiki tano.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria: Mashambulio dhidi ya Idlib yalenga shule na hospitali'

Makundi ya kutetea haki za binadamu yanasema kuwa takriban raia 20 Idlib, miongoni mwao watoto tisa

 

10 years ago

Vijimambo

NMB wametoa msaada Hospitali ya Mnazi Mmoja na Shule ya Msingi Mwanakwerekwe, Z’bar

Afisa Mkuu Fedha NMB, Waziri Barnabas akikabidhi vitanda vya kujifungulia wakina mama wajawazito katibu mkuu wa wizara ya Afya Zanzibar, Asha Ali Abdalla kwaajili ya hospitali ya Mnazi Mmoja, Z’bar.NMB imetoa msaada wa zaidi ya madawati 50 kwa ajili ya kusaidia shule ya msingi Mwanakwerekwe E na vitanda vya wagonjwa kwa ajili ya hospitali ya mnazi mmoja, misaada yote ikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 10.
Afisa Mkuu Fedha wa NMB, Waziri Barnabas alisema msaada huo ni mwitikio wa NMB...

 

9 years ago

Bongo5

Madee kumrudisha shule tena Dogo Janja? Jibu hili hapa

Madee amesema hajalitupilia mbali suala la kumrudisha Dogo Janja shule. Hata hivyo amesema anachoangalia kwa sasa ni ujio wa ngoma yake [Dogo Janja] mpya. “Sitaki kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja asirudi shule,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wiki hii. “Vipo vingi ambavyo sasa hivi anaviongelea, ambavyo vipo kwenye plan, lakini […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shule zinachukua tahadhari gani wakati wanafunzi wanapoanza tena masomo?

Wanafunzi wa kidato cha sita wamerejea shuleni kuendelea na masomo. Hatua mbalimbali zinachukuliwa ili kuwafanya wabaki salama.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Korea Kusini yafunga shule tena baada ya maambukizi kuongezeka zaidi

Shule ambazo zilikuwa tu zimefunguliwa zimelazimika kufunga tena baada ya maambukizi kuongezeka mno

 

10 years ago

Habarileo

JK: Serikali itaendelea kuboresha hospitali

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imesema itaendelea kuboresha sekta ya afya nchini kwa kuboresha zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, rufaa na vyuo vinavyotoa taaluma ya uuguzi na udaktari.

 

11 years ago

Mtanzania

Serikali yaifungia Hospitali ya IMTU

Baadhi ya viungo vya miili vilivyokutwa

Baadhi ya viungo vya miili vilivyokutwa

Oliver Oswald na Adam Malinda, Dar es Salaam

SERIKALI imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Tiba na Teknolojia (IMTU) kilichopo Mbezi eneo la Interchiki kwa muda usiofahamika.

Hospitali hiyo imefungiwa kutokana na kukosa sifa, ambapo imebainika kuwa maabara pamoja na wauguzi wake hawana vigezo vya kutoa huduma za kitabibu.

Hatua ya kuifungia hospitali hiyo imekuja siku chache tangu chuo hicho kilipokumbwa na tuhuma nzito za kuhusika na utupaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani