Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule zafunguliwa tena Kenya

Shule nchini Kenya zimefunguliwa tena baada ya walimu kusitisha mgomo wao uliokuwa umedumu kwa wiki tano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Shule zafunguliwa Liberia

Shule zafunguliwa tena huko LiberiaWanafunzi wakisaidia kufyeka nyasi shuleni katika siku yao ya kwanzaWalimu wakiwapokea wanafunzi baada ya kufungwa shule kwa muda mrefu
Kuanzia leo shule nchini Liberia zinaendelea kutoa mafunzo baada ya kufungwa kwa miezi kadhaa kufuatia mlipuko wa Ebola.

Huku kukiwepo vifo vya karibu watu 4000, Liberia imekuwa nchi iliyoathirika zaidi katika nchi tatu zilizogubikwa na janga hilo,

lakini wiki kadhaa zilizopita maafisa wa serikali wameamua kwamba kupungua kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Shule zafunguliwa Liberia

Maelfu ya wanafunzi wamerejea mashuleni hii leo huko liberia baada ya kufungwa kwa muda mrefu kufuatia mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Shule zafunguliwa Sierra Leone

Shule zinafunguliwa leo nchini Sierra Leone tangu mwezi Julai mwaka uliopita zilipofungwa kutokana na mlipuko wa Ebola

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kutotaifisha tena shule, hospitali

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali haitataifisha shule, zahanati, hospitali wala vyuo vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kidini na amewahimiza wajenge zaidi na zaidi ili kuisaidia jamii kubwa ya Watanzania.

 

9 years ago

Bongo5

Madee kumrudisha shule tena Dogo Janja? Jibu hili hapa

Madee amesema hajalitupilia mbali suala la kumrudisha Dogo Janja shule. Hata hivyo amesema anachoangalia kwa sasa ni ujio wa ngoma yake [Dogo Janja] mpya. “Sitaki kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja asirudi shule,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wiki hii. “Vipo vingi ambavyo sasa hivi anaviongelea, ambavyo vipo kwenye plan, lakini […]

 

10 years ago

Mwananchi

Kenya yazuia tena magari ya TZ

Kwa mara nyingine Serikali ya Kenya imepiga marufuku magari yaliyosajiliwa Tanzania kupakia au kushusha watalii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Jomo Kenyatta (JKIA), hifadhi za taifa na mapori ya akiba nchini humo.

 

10 years ago

CloudsFM

A-Shaabab yavamia tena Kenya

Kundi la Alshabaab wamefanya mashambulizi katika chuo kikuu cha Garissa kasikazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia na maafisa usalama wa Kenya wamethibitisha kuwa watu wawili wamefariki Dunia na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi hayo na wakazi wa eneo hilo wametakiwa kuaa mbali na eneo hilo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani