Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI KUWASHUGHULIKIA WANANCHI WANAOKWEPA KULIPA KODI

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya (katikati) akiangalia mbidhaa za tv zilizokutwa katika mojawapo ya kontena zilizokuwepo katika Bandari ya Nchi Kavu ya TRH katika ziara ya wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya (kushoto) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Forodha wa Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA),Bw. Tiagi Kabisi katika ziara ya wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam ambapo kontena mbili zilikamtwa ambapo moja ilikutwa na bidhaa za tv na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 7 KWA WAFANYABIASHARA WANAOKWEPA KULIPA KODI

 Rais John Magufuli ametoa siku 7 kwa wafanyabiashara waliokwepa kulipa kodi kwa kutorosha makontena  kuhakikisha wanalipa haraka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hakuna taifa linaloendelea bila wananchi kulipa kodi

“IMEKUWA hulka kwa wafanyabiashara kuona sifa kukwepa kulipa kodi na hali inakuwa mbaya zaidi pale wananchi watakapokosa uzalendo katika suala zima la ulipaji kodi.” Hiyo ni kauli ya Meneja Msaidizi...

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WANANCHI KULIPA KODI YA PANGO LA ARDHI SHINYANGA



Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (kulia) akitoa elimu ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Phantom Oil Tanzania Ltd  John Maguru (kushoto) inayodaiwa shilingi milioni 105 za pango la ardhi tangu mwaka 2007 leo Alhamis Aprili 2,2020 wakati akiongoza Kampeni ya Kuhamasisha Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wamiliki wa viwanja vya Biashara na makazi katika manispaa ya Shinyanga. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Idara ya Ardhi na Mipango Mji...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yawasamehe wafanyabiashara kulipa kodi

Serikali imekubali kupunguza viwango vya kodi kwa wafanyabiashara na kuiondoa kwa wale wenye mauzo yasiyozidi Sh4 milioni kwa mwaka.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasamehe wafanyabiashara kulipa kodi

Serikali imekubali kupunguza viwango vya kodi kwa wafanyabiashara na kuiondoa kwa wale wenye mauzo yasiyozidi Sh4 milioni kwa mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV,  
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.

Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo,  Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani