Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI MPYA HAITABADILISHA UHUSIANO WA TANZANIA NA MAREKANI- RAIS KIKWETE

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIwa Tanzania na Marekani

·         Aiomba Serikali ya Marekani kuendelea kuiunga mkono Serikali mpya kama ilivyofanya kwake

·         Aishukuru kwa misaada iliyobadilisha maisha ya Watanzania katika miaka 10 ya uongozi wake


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameihakikishia Serikali ya Marekani kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautabadilika na kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa E! Entetainment TV ya Marekani athibitisha kuja Tanzania, ahadi ya Rais Kikwete yatimia

Ile ahadi aliyoitoa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete hivi karibuni ya kuwaleta baadhi ya watu muhimu wa sanaa duniani kwaajili ya kuzungumza na wasanii wa Tanzania inaelekea kutimia. Miongoni mwa majina aliyoyataja Rais kuwa watakuja kuzungumza na wasanii wa Tanzania ni pamoja na mtangazaji wa E! Entetainment TV ya Marekani Terrence […]

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete amteua Wilson Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani


Rais Kikwete amemhamisha Wilson Masilingi kutoka kuwa Balozi wa Tanzania Uholanzi na sasa anakuwa Balozi wa Tanzania Marekani kuchukua nafasi ya Liberata Mulamula. Nafasi ya Masilingi itajazwa na Irene Kisyanju aliyeteuliwa kuwa balozi Uholanzi akitokea wizara ya mambo ya nje.Aidha Rais amemteua Mkuu wa chuo cha ulinzi cha taifa Luten Jenerali Charles Makakala kuwa Balozi wa TZ Zimbabwe kuchukua nafasi ya Adadi Rajab alieteuliwa kuwa mgombea ubunge CCM huko Tanga.

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN AMJULIA HALI RAIS JAKAYA KIKWETE NCHINI MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Wakati alipotembelewa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman  na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland.  Jaji Mkuu yuko  Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi na pia kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili  kupata...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete amuapisha Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe

Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam jana.Hafla hiyo ilihudhuriwa (picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda

Picha na 8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa jana Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 9

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisaini hati za kiapo cha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkabidhi mwongozo wa kazi anayekwenda kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda,...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE LEO IKULU

 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.    Rais Jakayta Kikwete akimkabidhi nyaraka za kazi Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

  Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA JOHN HAULE KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA

Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Michael Haule.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete asifia uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesifia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini, akisema haujapata kuwa mzuri zaidi ya ulivyo sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani