Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali, wadau wajadili uchumi

TAASISI ya African Community of Practice (AfCoP), imekutanisha viongozi wa Serikali, wadau wa maendeleo na asasi za kijamii katika semina ya siku nne kwa ajili ya kujadili ripoti ya Tanzania ya tathmani ya kiuchumi na namna ya kufanikisha uchumi kupanda na kuwafikia wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Marais wastaafu wajadili uchumi wa Afrika

MARAIS wastaafu sita kutoka barani Afrika walikutana mwishoni mwa wiki katika mdahalo wa kujadili mwelekeo wa uchumi wa nchi za bara hilo na watu wake. Mdahalo huo wa siku moja...

 

9 years ago

StarTV

Norway na Tanzania wajadili uwekezaji wa pamoja kukuza uchumi

Katika hali ya kuhakikisha uchumi wa nchi unakuwa  Serikali za Norway na Tanzania zimekutana kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya gesi na mafuta ili kuwezesha nchi hizo kujiimarisha kiuchumi pamoja na kuimarisha uhusiano miongoni mwa mataifa hayo.

Ujumbe kutoka Norway ukiongozwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Monica Maeland umesema uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili ni njia pekee ya kufungua mtandao mpana wa biashara katika kujiimarisha kiuchumi.

 

Katika mkutano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wa mawasiliano wajadili uzimaji analojia

WATAALAMU, wadau wa mawasiliano  na maofisa kutoka nchi 25 wanachama wa Jumuia ya Madola  wanakutana jijini hapa kwa siku nne kuanzia jana kujadili harakati za uzimaji wa mitambo ya analojia...

 

10 years ago

Vijimambo

Wadau wajadili sera ya Taifa ya Mtangamano ya Afrika Mashariki

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule akifungua kikao cha wadau cha kujadili Sera ya Taifa ya Mtangamano wa Afrika Mashariki, katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam leo.Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Simba yahaya akiwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Said Seif Mzee  wakifuatilia hotubaMkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Irene Kasyanju pamoja na Mkuu wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wajadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania

IMG_1226

Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

IMG_1247

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia...

 

9 years ago

Vijimambo

OFISI YA WAZIRI MKUU NA WADAU WA MABADILIKO TABIA NCHI WAJADILI UBORESHAJI WA MIFUMO YA UTOAJI TAHADHARI ZA AWALI

of1Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali leo, tarehe, 20 Agosti, 2015, Jijini Dar esalam. of2Mtaalam wa Mabadiliko ya Tabia nchi UNDP, Abbas Kitogo akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali leo, tarehe, 20 Agosti, 2015, Jijini Dar esalam,...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU NA WADAU WA MABADILIKO TABIA NCHI WAJADILI UBORESHAJI WA MIFUMO YA UTOAJI TAHADHARI ZA AWALI

Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali leo, tarehe, 20 Agosti, 2015, Jijini Dar esalam. Mtaalam wa Mabadiliko ya Tabia nchi UNDP, Abbas Kitogo akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali leo, tarehe, 20 Agosti, 2015, Jijini Dar esalam,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa GEPF wafanya mkutano na wadau Arusha wajadili maswala mbalimbali ya mfuko huo

unnamed

MKUU  wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao ya kustaafu (GEPF) sambamba na mabadiliko katika mfuko huo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa http://jamiiblog.co.tz/)

unnamed (1)

Meneja masoko wa mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika mkutano na wadau kutoka sekta mbalimbali uliofanyika jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali...

 

9 years ago

StarTV

Wadau wa amani Tanga wajadili udumishaji amani

Wadau wa amani jijini Tanga wamekutana kujadili namna ambayo watadumisha amani kwenye kipindi cha kampeni na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na nafasi ya urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Wadau hao ni viongozi wa dini na wa kisiasa, makundi ya kijamii na waandishi wa habari ambao wote kwa pamoja wametakiwa kutumia nafasi zao kuhakikisha amani inaendelea kuwepo wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Nafasi ya viongozi wa dini, siasa, makundi ya kijamii na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani