Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ya Muungano imeegamia Bara

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana. (Na Mpigapicha Wetu).MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema katika kuchambua malalamiko ya pande zote mbili, wamebaini kuwa muundo wa Muungano wa serikali mbili, umeifanya Serikali ya Muungano kwa kiwango kikubwa kushughulikia zaidi mambo ya Tanzania Bara hasa maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Muungano umeegamia Bara

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema katika kuchambua malalamiko ya pande zote mbili, wamebaini kuwa muundo wa Muungano wa serikali mbili, umeifanya Serikali ya Muungano kwa kiwango kikubwa kushughulikia zaidi mambo ya Tanzania Bara hasa maendeleo.

 

11 years ago

Habarileo

‘Tanzania Bara itavua koti la Muungano’

MWENYEKITI wa Kamati namba Sita ya Bunge Maalum la Katiba, Stephen Wassira amesema kamati yake imependekeza Tanzania Bara kuvua koti la Muungano, linalodaiwa kuvaliwa ili koti hilo sasa livaliwe na pande zote za Tanzania Bara na Zanzibar, kama njia ya kuimarisha Muungano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majina ya Zanzibar, Tanzania Bara ni sumu kwa Muungano

MNYUKANO  unaoendelea kwa sasa katika Bunge Maalumu la Katiba ni wa muundo wa Muungano wa Tanzania. Ni katika mjadala wa serikali mbili dhidi ya serikali tatu kama zilivyopendekezwa kwenye Rasimu...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO

Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na PBZRais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu...

 

11 years ago

Habarileo

KWA NINI SERIKALI 2 HAZIEPUKIKI?:Uchumi Zanzibar unategemea Bara

Sehemu ya mji wa ZanzibarWAKATI Bunge Maalum la Katiba likisuasua katika kuunda kanuni za kuongoza wajumbe wake, taarifa zinaonesha katika muundo uliopo wa serikali mbili, mbali na kuimarisha umoja na mshikamano wa Taifa, pia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekuwa ikinufaika nao kiuchumi.

 

11 years ago

Habarileo

'Serikali 3 zitavunja Muungano'

MJUMBE wa Baraza la Katiba na aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mohammed Seif Khatibu amesema muundo wa Serikali tatu hautaisaidia nchi bali ni njia ya mzunguko kuvunja muungano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Serikali ya muungano Palestina imevunjika

Serikali ya Palestina iliobuniwa ili kuponya mgawanyiko kati ya makundi ya Hamas na Fatah imevunjika.

 

11 years ago

Habarileo

‘Serikali 2 zitaimarisha Muungano'

WABUNGE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kuhakikisha suala la muundo wa serikali mbili au tatu halififishi mema mengi yaliyomo kwenye Katiba, kwani kuna mambo mengi mazuri ambayo yanajibu kero na changamoto za wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani