Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaendeleza jitihada ya kudhibiti Mmomonyoko

Vikosi vya Jeshi la Ulinzi, Magereza, Polisi na wataalamu wengine wanaendelea na kazi ya kuthibiti mmomonyoko wa ardhi uliotokea hivi karibuni katika kijiji cha Msimbati, Mkoani Mtwara kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga alipotembelea eneo ambalo limeathirika na mmomonyoko wa ardhi uliotokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali Eneo la ardhi ambalo limemomonyoka na kuzama baharini. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mtwara yaishukuru Wizara ya Nishati na Madini kwa jitihada kudhibiti mmomonyoko wa ardhi Mnazi Bay

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu (aliyenyoosha mkono), akimwonyesha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, jinsi maji ya bahari yalivyoathiri eneola MnaziBay, karibu na kampuni ya kuzalisha umeme ya Maurel & Prom.
Athari ya mmomonyoko wa ardhi katika eneo la MnaziBay inavyoonekana pichani. Mmomonyoko huo umetishia usalama wa Kiwanda cha kufua umeme unaotumiwa na wakazi wa Lindi na Mtwara cha Maurel & Prom.
Na Veronica Simba aliyekuwa Mtwara Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi SUA wasifu jitihada za serikali

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), wameipongeza Serikali ya Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete kwa kuendelea kuboresha elimu katika nyanja mbalimbali, ikiwemo ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi kwenye shule za sekondari nchini.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yaunga mkono jitihada za wadau wa Michezo

IMG_6504 bacelona

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu  makocha wa Timu ya Barcelona  kutoka nchini Hispania  ambao wako nchini kwa ajili ya  mafunzo ya makocha yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili, wa kwanza kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, mafunzo hayo yanatolewa kwa ushirikiano na Kiwanda cha Bia cha Tanzania Breweries.

Na Genofeva...

 

11 years ago

Mwananchi

Jitihada za Serikali ‘kuwapika’ walimu wa sayansi na hesabu

Mpango wa mafunzo kazini kwa walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati katika shule za sekondari awamu ya kwanza, umekamilika kwa mafanikio.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ugonjwa wa Ebola na jitihada za Serikali katika kupambana nao

PIX 1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisalimiana na Wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa  abiria  atayekutwa na ugonjwa wa Ebola  mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM

Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya homa ya hemoraji ikimaanisha ugonjwa wa kumwagika damu bila kuganda (Viral Haemorrhagic Fevers).

Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, ugonjwa huu ni hatari na unasababishwa na...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAFURAHISHWA NA JITIHADA ZA WILAYA YA CHATO KATIKA KUWEKEZA KWENYE ELIMU

NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu OR-TAMISEMI Gerald Mweli amesema ameridhishwa na kutambua jitihada zinazofanywa na viongozi wa Wilaya ya Chato katika kuwekeza kwenye miundombinu ya Elimu.

Mweli ameyasema hayo wakati alipotembelea Wilaya hiyo na kukutana na Menejimenti, Walimu pamoja na kukagua ujenzi wa shule mbalimbali zilizoboreshwa na zinazoendelea kuboreshwa Wilayani hapo.

Mweli amesema anatambua  jitihada kubwa zinazofanywa katika eneo hili la Elimu ikiwa ni pamoja na kuanzisha ...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU WA MAZINGIRA WAPONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI KATIKA KUENDELEZA MATUMIZI YA NIHATI JADIDIFU NCHINI


Wadau wa mazingira kutoka Shirika la FORUMCC wakiendelea na majadiliano leo Juni 25,2020 Mjini Morogoro ambao wamekutana kujadilia bajeti ya Wizara ya Nishati pamoja na jitihada zinazofanywa katika kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Sehemu ya wanachama wa FORUMCC wakiwa makini kufuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa kujadili matumizi ya nishati jadidifu pamoja na jitihada za Serikali katika kuendeleza sekta hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

FORUMCC WAIPONGEZA SERIKALI KWA JITIHADA ZAKE ZA UJENZI WA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME UNAOTOKANA NA JOTO ARDHI

Mkurugenzi wa Shirika la FORUMCC Rebecca Muna(kulia) akizungumza leo jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari kuhusu maoni yao katika bajeti ya fedha ya mwaka 20/21 ya Wizara ya Nishati ambayo imezingatia umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha matumizi ya nishati ya umeme itokanayo na jotoardhi. Kushoto ni Mratibu wa Miradi wa ForumCC Henry  Kazula.


Mratibu wa Miradi wa Shirika la ForumCC Henry  Kazula(kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa shirika hilo Rebecca Muna wakisikiliza maswali ya...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimvisha taji,mfanyabiashara mashuhuri katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Vicent Laswai mara baada ya kufanikiwa kufika katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi cheti mfanyabiashara mashuhuri,Vicent Laswai kwa niaba ya hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA ) mara baada ya kufanikiwa kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
RC Gama akikabidhi zawadi za T-shirt kutoka KINAPA kwa mke wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani