Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jitihada za Serikali ‘kuwapika’ walimu wa sayansi na hesabu

Mpango wa mafunzo kazini kwa walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati katika shule za sekondari awamu ya kwanza, umekamilika kwa mafanikio.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali za Apollo na jitihada za kuimarisha sayansi ya mfumo wa fahamu Tanzania

Apollo-Bangalore-swa

Umakini kwa mara nyingine tena umewekwa katika uhitaji wa wataalamu zaidi na kuboresha miundombinu ndani ya sekta ya utabibu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu. Hii inakuja baada ya ziara ya hivi karibuni na timu ya madaktari kutoka hospitali ya Apollo nchini India. Madaktari ambao walikuwa nchini kwa lengo la kujenga uhusiano unaoendelea kati ya hospitali hiyo na Tanzania, walipata fursa ya kutembelea taasisi mbalimbali ikiwa ni pamoja na maboresho ya ujuzi wa wauguzi ambao walipata mafunzo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yadorora kwa Hesabu na Sayansi

Afrika kusini imeorodheswha kama taifa linalofanya vibaya zaidi katika masomo ya hisabati na sayansi katika elimu duniani

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu watakiwa kuweka mazingira bora somo la hesabu

Walimu wa somo la hesabu nchini wameshauriwa kutumia njia mbadala za michezo ya kitamaduni kufundisha somo hilo ili kuwavutia wanafunzi wengi kujifunza zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu wa hisabati, sayansi wapigwa ‘tafu’

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mkopo wa masharti nafuu wa Sh92 bilioni kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia mradi kwa sekta ya elimu hasa kuwajengea uwezo walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.

 

11 years ago

Habarileo

Dodoma yanoa walimu wake wa sayansi

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi amesema serikali mkoani humo itaendelea kuimarisha mazingira ya kufundishia masomo ya sayansi ili wanafunzi wajenge uelewa zaidi na kufaulu vizuri.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Boxpedia’ dawa ya uhaba wa walimu wa sayansi

>Alipojiunga na Shule ya Sekondari ya Lumuli iliyopo  mkoani Iringa,   Ombeni Sanga alikuwa na matarajio makubwa ya kusoma masomo ya sayansi, ili baadaye aje kuwa mvumbuzi.

 

10 years ago

Habarileo

SUA yatoa walimu wa sayansi 193

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeendelea kutoa majawabu ya msingi ya kukabiliana na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi wa shule za sekondari nchini baada ya kuwatunukia shahada ya kwanza ya ualimu wa masomo hayo wahitimu 193 miongoni mwao wanawake wakiwa ni 61.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani