Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUA yatoa walimu wa sayansi 193

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeendelea kutoa majawabu ya msingi ya kukabiliana na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi wa shule za sekondari nchini baada ya kuwatunukia shahada ya kwanza ya ualimu wa masomo hayo wahitimu 193 miongoni mwao wanawake wakiwa ni 61.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Boxpedia’ dawa ya uhaba wa walimu wa sayansi

>Alipojiunga na Shule ya Sekondari ya Lumuli iliyopo  mkoani Iringa,   Ombeni Sanga alikuwa na matarajio makubwa ya kusoma masomo ya sayansi, ili baadaye aje kuwa mvumbuzi.

 

10 years ago

Habarileo

Dodoma yanoa walimu wake wa sayansi

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi amesema serikali mkoani humo itaendelea kuimarisha mazingira ya kufundishia masomo ya sayansi ili wanafunzi wajenge uelewa zaidi na kufaulu vizuri.

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wa hisabati, sayansi wapigwa ‘tafu’

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mkopo wa masharti nafuu wa Sh92 bilioni kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia mradi kwa sekta ya elimu hasa kuwajengea uwezo walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.

 

11 years ago

Mwananchi

Jitihada za Serikali ‘kuwapika’ walimu wa sayansi na hesabu

Mpango wa mafunzo kazini kwa walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati katika shule za sekondari awamu ya kwanza, umekamilika kwa mafanikio.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sekondari ya Nainokanoka yalia uhaba walimu wa sayansi

SHULE ya Sekondari ya Nainokanoka wilayani hapa Mkoa wa Arusha inakabiliwa na ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi licha ya kuwa na mchepuo huo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo haya yanachangia uhaba wa walimu wa sayansi

Kwa mujibu wa sera mpya ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014, asilimia tano ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi ndiyo wanaofika mpaka kidato cha tano na sita. Asilimia nne wanajiunga na masomo ya elimu ya juu.

 

11 years ago

Mwananchi

Chuo cha Mtakatifu Joseph kuongeza walimu wa Sayansi

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph ( SJUIT) kilichopo Mbezi Luguruni jijini hapa, kinatarajia kufungua tawi jipya eneo la Mwenge,lengo likiwa ni kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi.

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI NA WALIMU BORA WA MASOMO YA SAYANSI WANEEMEKA NA NMB

 Meneja Mwandamizi wa Benki Upande wa Taasisi NMB, Noelina Kivaria (kushoto) akimkabidhi Katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawii wa Jamii, Dkt. Donan Mmbando (kulia) tuzo ya mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 kwa niaba ya wanafunzi nane na walimu wanne bora wa masomo ya biolojia na kemia.  
Meneja Mwandamizi wa Benki Upande wa Taasisi NMB, Noelina Kivaria akizungumza wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi na walimu bora wa masomo ya biolojia na kemia kitaifa kidato cha nne na sita...

 

9 years ago

GPL

WANAFUNZI NA WALIMU BORA WA MASOMO YA SAYANSI WANEEMEKA NA NMB‏

Meneja Mwandamizi wa Benki Upande wa Taasisi NMB, Noelina Kivaria (kushoto) akimkabidhi Katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Donan Mmbando (kulia) tuzo ya mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 kwa niaba ya wanafunzi nane na walimu wanne bora wa masomo ya baiolojia na kemia. Meneja Mwandamizi wa Benki Upande waTaasisi NMB, Noelina Kivaria akizungumza wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi na walimu bora wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani