‘Boxpedia’ dawa ya uhaba wa walimu wa sayansi
>Alipojiunga na Shule ya Sekondari ya Lumuli iliyopo mkoani Iringa,  Ombeni Sanga alikuwa na matarajio makubwa ya kusoma masomo ya sayansi, ili baadaye aje kuwa mvumbuzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Mambo haya yanachangia uhaba wa walimu wa sayansi
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Sekondari ya Nainokanoka yalia uhaba walimu wa sayansi
SHULE ya Sekondari ya Nainokanoka wilayani hapa Mkoa wa Arusha inakabiliwa na ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi licha ya kuwa na mchepuo huo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkuu...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
DUCE kupunguza uhaba wa walimu
NA EMMANUEL MOHAMED
CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu,(DUCE), kimeanza mkakati wa kupunguza uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini kwa kuongeza udahili wa wanafunzi wa masomo hayo. Mkakati huo umeongeza wadahiliwa 1700 wa masomo hayo kwa mwaka huu, katika chuo hicho, huku kukiwa na jumla ya walimu 20,000 wa masomo hayo nchi nzima. Hayo yalielezwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala, jana , wakati akiwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Walimu walia uhaba wa nyumba Bunda
WALIMU wa shule ya Msingi Nafuba, iliyoko katika kisiwa ndani ya Ziwa Victoria, Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wanafanya kazi katika mazingira magumu, ikiwa ni pamoja na familia mbili kuishi...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mbasa alia uhaba wa walimu Biharamulo
MBUNGE wa Biharamulo, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), ameitaka serikali ieleze ni lini itaweza kupambana na uhaba wa walimu wa fani mbalimbali wilayani Biharamulo. Pia ametaka kuelezwa serikali ina mpango gani...
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Uhaba wa walimu katika mataifa maskini
10 years ago
GPLAIRTEL YATATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA VITABU VYA SAYANSI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MUKULATI MKOANI ARUSHA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cMWxpucSd30/VEju5VLEdoI/AAAAAAAGs5s/lPk-JM7SAe0/s72-c/unnamed%2B(92).jpg)
Airtel yatatua changamoto za uhaba wa vitabu vya sayansi Katika shule ya Sekondari Mukulati Mkoani Arusha
Licha ya Kada ya sayansi kuwa ndio chimbuko kubwa la wataalamu wengi katika fani mbalimbali bado inatajwa kutofanya vizuri kutokana na uhaba wa miundombinu na vifaa stahiki ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya kada hiyo.
Meneja wa Airtel...
9 years ago
StarTV02 Oct
Uhaba wa walimu, malipo, vitendea kazi bado changamoto
Changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini zinachangia kurudisha nyuma sekta hiyo na kusababisha wanafunzi kutotambua mahitaji yao baada ya kuhitimu masomo.
Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa walimu, uwepo wa mitaala isiyokidhi mahitaji ya kielimu, ucheleweshwaji wa malipo kwa walimu na uhaba wa vitabu na vitendea kazi mashuleni.
Changamoto nyingine ni mazingira magumu ya kazi kwa walimu, wingi wa idadi ya masomo kwa wanafunzi pamoja na urundikanaji wa watoto...