DUCE kupunguza uhaba wa walimu
NA EMMANUEL MOHAMED
CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu,(DUCE), kimeanza mkakati wa kupunguza uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini kwa kuongeza udahili wa wanafunzi wa masomo hayo. Mkakati huo umeongeza wadahiliwa 1700 wa masomo hayo kwa mwaka huu, katika chuo hicho, huku kukiwa na jumla ya walimu 20,000 wa masomo hayo nchi nzima. Hayo yalielezwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala, jana , wakati akiwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Uhaba wa walimu katika mataifa maskini
10 years ago
Mwananchi09 Jun
‘Boxpedia’ dawa ya uhaba wa walimu wa sayansi
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mbasa alia uhaba wa walimu Biharamulo
MBUNGE wa Biharamulo, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), ameitaka serikali ieleze ni lini itaweza kupambana na uhaba wa walimu wa fani mbalimbali wilayani Biharamulo. Pia ametaka kuelezwa serikali ina mpango gani...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Walimu walia uhaba wa nyumba Bunda
WALIMU wa shule ya Msingi Nafuba, iliyoko katika kisiwa ndani ya Ziwa Victoria, Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wanafanya kazi katika mazingira magumu, ikiwa ni pamoja na familia mbili kuishi...
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Sekondari ya Nainokanoka yalia uhaba walimu wa sayansi
SHULE ya Sekondari ya Nainokanoka wilayani hapa Mkoa wa Arusha inakabiliwa na ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi licha ya kuwa na mchepuo huo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkuu...
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Mambo haya yanachangia uhaba wa walimu wa sayansi
9 years ago
StarTV02 Oct
Uhaba wa walimu, malipo, vitendea kazi bado changamoto
Changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini zinachangia kurudisha nyuma sekta hiyo na kusababisha wanafunzi kutotambua mahitaji yao baada ya kuhitimu masomo.
Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa walimu, uwepo wa mitaala isiyokidhi mahitaji ya kielimu, ucheleweshwaji wa malipo kwa walimu na uhaba wa vitabu na vitendea kazi mashuleni.
Changamoto nyingine ni mazingira magumu ya kazi kwa walimu, wingi wa idadi ya masomo kwa wanafunzi pamoja na urundikanaji wa watoto...
9 years ago
StarTV12 Oct
Uhaba wa nyumba za walimu washusha Kiwango cha taaluma Tanga
Wilaya ya Mkina mkoani Tanga inakabiliwa na uhaba wa nyumba za walimu wa sekondari hatua inayoathiri kukua kwa kiwango cha taaluma kutokana na walimu hao kuishi mbali na shule wanazofundisha.
Kutokana na hali hiyo wilaya imeanza kutafuta misaada kutoka kwa wafadhili kwa kuwa kiwango kinacholetwa na serikali kila mwaka kwa ajali ya ujenzi wa nyumba hizo ni kidogo kikilinganishwa na mahitaji yaliyopo.
Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondary Mkinga hapo wilayani Mkinga Mkoani Tanga...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rcQZ-rKDDhQ/VNCmKPgyx2I/AAAAAAAHBRE/-IgLPlTyqt4/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
uhaba wa walimu na watalamu wa kundisha namna ya ukataji vito na madini ni tatizo kubwa katika sekta ya madini
Sekta ya madini nchini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa walimu na wataalamu wa kufundisha namna ya ukataji wa vito vya madini hali inayosababisha kuuzwa kwa madini ghafi nje ya nchi na kupelekea kuuzwa kwa bei ya chini na pesa nyingi kwenda nje ya nchi .
Hayo yameelezwa na mratibu wa kituo cha Jimolojia Tanzania,Musa Shanyangi wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituo hicho kinachotoa mafunzo ya ukataji madini ya vito,ambapo wameanza...