Uhaba wa nyumba za walimu washusha Kiwango cha taaluma Tanga
Wilaya ya Mkina mkoani Tanga inakabiliwa na uhaba wa nyumba za walimu wa sekondari hatua inayoathiri kukua kwa kiwango cha taaluma kutokana na walimu hao kuishi mbali na shule wanazofundisha.
Kutokana na hali hiyo wilaya imeanza kutafuta misaada kutoka kwa wafadhili kwa kuwa kiwango kinacholetwa na serikali kila mwaka kwa ajali ya ujenzi wa nyumba hizo ni kidogo kikilinganishwa na mahitaji yaliyopo.
Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondary Mkinga hapo wilayani Mkinga Mkoani Tanga...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Walimu walia uhaba wa nyumba Bunda
WALIMU wa shule ya Msingi Nafuba, iliyoko katika kisiwa ndani ya Ziwa Victoria, Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wanafanya kazi katika mazingira magumu, ikiwa ni pamoja na familia mbili kuishi...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
KIWANGO CHA NGASSA KIMESHUKA, LAKINI NI MCHEZAJI MWENYE AKILI, LAZIMA ATARUDI KATIKA KIWANGO CHAKE-PLUIJM
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/NGASSA-MRISHO.jpg)
Pluijm alikiri wazi kuwa nyota huyo ameshuka kiwango kwa sasa na ndio maana anaanzia benchi katika mechi mbalimbali, lakini anaonesha juhudi kubwa mazoezini kitendo kinachoonesha wazi ametambua alipo sasa.
“Kiwango cha Ngassa kimeshuka, lakini ni mchezaji mwenye akili, lazima atarudi katika kiwango chake”. Alisema Pluijm.Kocha huyo anayependa soka la kushambulia...
11 years ago
MichuziMH. PINDA AZINDUA CHUO CHA VETA NA KUKABIDHIWA NYUMBA YA WALIMU SAME
11 years ago
Dewji Blog22 Jul
Pinda azindua Chuo cha VETA na kukabidhiwa Nyumba ya Walimu Same
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Julai 20, 2014 kwa ziara ya siku moja wilayani Same. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa nyumba iliyojengwa na Jaji...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
DUCE kupunguza uhaba wa walimu
NA EMMANUEL MOHAMED
CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu,(DUCE), kimeanza mkakati wa kupunguza uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini kwa kuongeza udahili wa wanafunzi wa masomo hayo. Mkakati huo umeongeza wadahiliwa 1700 wa masomo hayo kwa mwaka huu, katika chuo hicho, huku kukiwa na jumla ya walimu 20,000 wa masomo hayo nchi nzima. Hayo yalielezwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala, jana , wakati akiwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mbasa alia uhaba wa walimu Biharamulo
MBUNGE wa Biharamulo, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), ameitaka serikali ieleze ni lini itaweza kupambana na uhaba wa walimu wa fani mbalimbali wilayani Biharamulo. Pia ametaka kuelezwa serikali ina mpango gani...
10 years ago
Mwananchi09 Jun
‘Boxpedia’ dawa ya uhaba wa walimu wa sayansi
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Uhaba wa walimu katika mataifa maskini
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eBwUntk2EEA/VVzGE9TjikI/AAAAAAAHYqE/PLcHYfS9baA/s72-c/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
uzinduzi wa Programu ya awamu ya pili ya kuboresha taaluma ya walimu na wanafunzi wilayani same