Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. PINDA AZINDUA CHUO CHA VETA NA KUKABIDHIWA NYUMBA YA WALIMU SAME

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Julai 20, 2014 kwa ziara ya siku moja wilayani Same.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa nyumba iliyojengwa na Jaji huyo kama mchango wake kwa Wananchi wa kijiji alichozaliwa cha Mtii. ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Pinda azindua Chuo cha VETA na kukabidhiwa Nyumba ya Walimu Same

PG4A5283

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro  Julai 20, 2014  kwa ziara ya siku moja wilayani Same.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5427

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la  Chuo cha Ufundi ( VTC)   cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5458

PG4A5682

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Jaji  Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa  nyumba iliyojengwa  na Jaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi chuo cha Veta Geita kutumia bil. 6.7/-

MAMLAKA ya Veta Kanda ya Ziwa imesema zaidi ya sh bilioni 6.7 zitatumika katika ujenzi wa chuo cha mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma mkoani hapa. Hayo yalibainishwa hivi karibuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi chuo cha VETA Ludewa mbioni kuanza

NAIBU Waziri wa Elimu, Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, amesema serikali imeanza maandalizi ya ujenzi wa vyuo vya ufundi vya Wilaya ya Ludewa, Namtumbo, Kilindi, Chunya na Ukerewe. Mhagama alitoa...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA AFANYA ZIARA MKOANI KAGERA KUKAGUA ENEO LA KUJENGA CHUO CHA KISASA CHA UFUNDI (VETA) NA KUONA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MKOA

Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing akicheza ngoma ya asili ya Mkoa wa Kagera wakati alipokuwa akilakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella akimkabidhi Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing Hati na ramani eneo lililotengwa na serikali ya mkoa kwa ajili ya kujenga chuo cha Ufundi (VETA) cha Kitaifa kilichoahidiwa na serikali ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Chuo cha Mtakatifu Joseph kuongeza walimu wa Sayansi

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph ( SJUIT) kilichopo Mbezi Luguruni jijini hapa, kinatarajia kufungua tawi jipya eneo la Mwenge,lengo likiwa ni kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi.

 

5 years ago

Michuzi

CHUO CHA MALYA CHAJIVUNIA KUZALISHA WALIMU BORA WA MICHEZO







Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya Bw.Richard Mganga.


NA shamimu Nyaki –WHUSM

Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya kimefanikiwa kuzalisha wataalam wa kufundisha na kuratibu michezo mbalimbali nchini ikwemo mashindano ya UMISETA na UMITASHUMTA.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Chuo hicho Bw.Richard Mganga katika mahojiano maalum ambapo ameeleza kuwa watalaam waliozalishwa wametokana na kozi zitolewazo chuoni hapo ambazo ni pamoja na; Michezo kwa ngazi ya Astashahada (Diploma) katika fani ya...

 

9 years ago

StarTV

Uhaba wa nyumba za walimu washusha Kiwango cha taaluma Tanga

 Wilaya ya Mkina mkoani Tanga inakabiliwa na uhaba wa nyumba za walimu wa sekondari hatua inayoathiri kukua kwa kiwango cha taaluma kutokana na walimu hao kuishi mbali na shule wanazofundisha.

Kutokana na hali hiyo wilaya imeanza kutafuta misaada kutoka kwa wafadhili kwa kuwa kiwango kinacholetwa na serikali kila mwaka kwa ajali ya ujenzi wa nyumba hizo ni kidogo kikilinganishwa na mahitaji yaliyopo.

Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondary Mkinga hapo wilayani Mkinga Mkoani Tanga...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda mgeni rasmi Chuo cha Kodi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya saba ya Chuo cha Kodi(ITA) ambapo atatunuku vyeti, shahada na stashahada kwa wahitimu 564 waliofuzu katika kozi mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani