Walimu wa hisabati, sayansi wapigwa ‘tafu’
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mkopo wa masharti nafuu wa Sh92 bilioni kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia mradi kwa sekta ya elimu hasa kuwajengea uwezo walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundu Mhe. Eng Stella Manyanya afungua mafunzo ya walimu mahiri wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili Ruvuma.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma na Halmashauri ya Ludewa Mkoa Njombe.
10 years ago
Habarileo14 Jan
Vitabu vya Sayansi, Hisabati vyasambazwa mashuleni
SERIKALI imeanza kusambaza vitabu milioni 2.5 vya Hisabati, Fizikia, Biolojia na Kemia vyenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 25 kwa ajili ya shule zote za sekondari za serikali nchini, lengo likiwa ni kuimarisha ubora wa utoaji wa elimu ya Sayansi na Hisabati.
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
Msalaba Mwekundu Mailimoja wapigwa tafu
CHAMA cha Msalaba Mwekundu tawi la Mailimoja Kibaha mkoani Pwani, kimepokea dawa, vifaa pamoja na fedha kutoka kwa mke wa mbunge wa Kibaha mjini, Selina Koka ili waweze kufanya kazi...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Walimu 100 kujadili maendeleo ya Hisabati
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Wanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM kunufaika na mikopo ya elimu ya juu
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
10 years ago
Habarileo20 Sep
Dodoma yanoa walimu wake wa sayansi
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi amesema serikali mkoani humo itaendelea kuimarisha mazingira ya kufundishia masomo ya sayansi ili wanafunzi wajenge uelewa zaidi na kufaulu vizuri.
10 years ago
Mwananchi09 Jun
‘Boxpedia’ dawa ya uhaba wa walimu wa sayansi
10 years ago
Habarileo30 Nov
SUA yatoa walimu wa sayansi 193
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeendelea kutoa majawabu ya msingi ya kukabiliana na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi wa shule za sekondari nchini baada ya kuwatunukia shahada ya kwanza ya ualimu wa masomo hayo wahitimu 193 miongoni mwao wanawake wakiwa ni 61.
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Jitihada za Serikali ‘kuwapika’ walimu wa sayansi na hesabu