Walimu 100 kujadili maendeleo ya Hisabati
Walimu takriban 100 wa somo la hesabu kutoka nchi za Afrika Mashariki wanatarajia kukutana katika mkutano wa kimataifa utakaoangazia namna ya kuendeleza somo hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Walimu wa hisabati, sayansi wapigwa ‘tafu’
9 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundu Mhe. Eng Stella Manyanya afungua mafunzo ya walimu mahiri wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili Ruvuma.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma na Halmashauri ya Ludewa Mkoa Njombe. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akishiriki katika darasa mojawapo la mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika...
10 years ago
Michuziwarsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Diaspora, Serikali kujadili maendeleo katika kongamano
5 years ago
MichuziMAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia kwake ) na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao cha kujadili maendeleo ya michezo nchini kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Februari 25, 2020. (Picha na Ofisi ya...
10 years ago
Dewji Blog31 May
Tanzania yashiriki mkutano wa kujadili changamoto za maendeleo Afrika mjini Abijah-Ivory Coast
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akisikiliza majadiliano kwenye kikao cha magava wa nchi za Afrika wakati wa kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo Mjini Abijah-Ivory.
Rais wa Benki wa Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka akiwa kwenye kikao na Magavana wa Afrika wakijadiliana changamoto mbalimbali za maendeleo zilizojitoketeza katika...
10 years ago
GPLLAPF WATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 100 KWA SACCOS YA WALIMU WILAYANI RUANGWA, LINDI
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
UN kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula, lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...
5 years ago
MichuziUONGOZI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAKUTANA NA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO KUJADILI FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO.
Fedha hizo sasa zitapelekwa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kutekeleza shughuli zilezile...