Tanzania yashiriki mkutano wa kujadili changamoto za maendeleo Afrika mjini Abijah-Ivory Coast
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akisikiliza majadiliano kwenye kikao cha magava wa nchi za Afrika wakati wa kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo Mjini Abijah-Ivory.
Rais wa Benki wa Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka akiwa kwenye kikao na Magavana wa Afrika wakijadiliana changamoto mbalimbali za maendeleo zilizojitoketeza katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzitaswira kutoka kwenye mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Mjini Abijah, Ivory coast
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zvPcy4LoSiA/VLUuaiQAK_I/AAAAAAAG9IA/OzO46xfPo2M/s72-c/PICHA%2BNAMBA%2B1.jpg)
TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUMI WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA NCHINI UGANDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-zvPcy4LoSiA/VLUuaiQAK_I/AAAAAAAG9IA/OzO46xfPo2M/s1600/PICHA%2BNAMBA%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7K41UHTtOWU/VLUubmz3xQI/AAAAAAAG9IM/_oNuzQzPMJE/s1600/PICHA%2BNAMBA%2B2.jpg)
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA BENKI YA MAENDELEA AFRIKA ABIJAN NCHINI IVORY COAST
10 years ago
VijimamboTANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KAMISHENI KUHUDU IDADI YA WATU NA MAENDELEO
Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa 48 wa Kamisheni ya Idadi ya Watu na Maendeleo, Tanzania ni mjumbe wa Kamisheni hii ikiwa ni kati ya nchi 12 kitoka Afrika zikiliwakilisha Bara ya Afrika. pamoja na naye ni Bw. Seif Shaban Mwinyi, Kamishna wa Mipango kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Bw. Stephen Kiberiti kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Sehemu wa Wajumbe kutoka nchi 47 zinazounda ...
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KAMISHENI KUHUSU IDADI YA WATU NA MAENDELEO
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Wataalamu na Wadau wa Mazingira waendelea kujadili mada katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu Afrika
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe wakifuatilia mada leo Oktoba 29, siku ya pili ya mkutano huo. Tayari mada mbalimbali za kitaalamu juu ya mabadiliko ya tabianchi na mambo ya kimikakati ya kukabiliana na mazingira, hali ya hewa na mengine yanaendelea kujadiliwa muda huu. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[VICTORIA FALLS-ZIMBABWE]...
11 years ago
MichuziTanzania yashiriki mkutano wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi mjini Bonn,Ujerumani
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WANAOSIMAMIA HUDUMA ZA HALI YA HEWA AFRIKA (AMCOMET)
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Ivory Coast mabingwa wa Afrika