Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yashiriki mkutano wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi mjini Bonn,Ujerumani

Mwenyekiti wa Kundi la Afrika Nagmeldeen Elhassan kutoka Sudan akizungumza wakati wa mkutano wa kundi la Afrika uliokuwa ukitoa taarifa kwa ufupi kwa mawaziri wa mazingira Afrika.kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya makamu wa Rais -Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Balozi Ahmed Swaraldhab kutoka Wizara ya Mambo ya Nje nchini Sudan. Waziri Samia anahudhulia Mkutano huo kwa kumuwakilisha Waziri wa Mazingira Tanzania ambae ni mwenyekiti wa Mawaziri wa Mazingira Afrika. Maafisa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAJADILIANO YA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI YAENDELEA MJINI BONN UJERUMANI

Baadhi ya washiriki watumishi kutoka katika serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kushoto Bw. Fred Manyika,katikati Bi. Emelda Adam na Bw. Abdul Mhinte wakifuatilia mazungumzo wakati wa  mkutano wa kundi la Africa katika mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaoendela mjini Bonn Ujerumani leo (Picha na Evelyn Mkokoi).

 

11 years ago

Michuzi

MAJADILIANO YA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI YAENDELEA UJERUMANI

Baadhi ya washiriki watumishi kutoka katika serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Toka kushoto Bw. Fred manyika,  Bi. Emelda Adam na Bw. Abdul Mhinte wakifuatilia mkutano wa kundi la Africa katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendela mjini Bonn, Ujerumani. Picha na Evelyn Mkokoi

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yashiriki mkutano wa kujadili changamoto za maendeleo Afrika mjini Abijah-Ivory Coast

IMG_8637

Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akisikiliza majadiliano kwenye kikao cha magava wa nchi za Afrika wakati wa kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo Mjini Abijah-Ivory.

IMG_8630

Rais wa Benki wa Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka akiwa kwenye kikao na Magavana wa Afrika wakijadiliana changamoto mbalimbali za maendeleo zilizojitoketeza katika...

 

9 years ago

Michuzi

Wadau wakutana Dar kujadili Mkataba Mpya wa Mabadiliko ya Tabianchi ‘Paris Agreement’

Ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Nchi Wanachama COP21 uliokuwa ukifanyika Paris, Ufaransa, ambao ulimalizika kwa kupitisha mkataba mpya wa mabadiliko ya tabianchi (Paris Agreement), wadau mbalimbali wamekutana kujadili matokeo ya mkutano huo.
Mkutano huo wa wadau umeandaliwa na ForumCC kwa kushirikiana na Rosa Luxemburg Stiftung (RLS) kwa lengo la kuangalia mazidi na mapungufu ya mkataba huo ambao umeweka historia mpya ya kuelekea juhudi za...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaofanyika katika hoteli ya Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar Es salaam ukiwashirikisha watafiti na wanamazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi cha chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Pius Yanda akiwasilisha mada katika mkutano huo. Profesa Mukandara akijadiliana na wataalam wanaoshiriki kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi mjini Geneva

Ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi mjini Geneva pamoja na Balozi wa Tanzania anaetuwakilisha nchini Uswiss na Vienna. Mh Modest Mero. 

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

 Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa. Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi za NPS na TYCEN zawakutanisha vijana kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi

00

Picha ya pamoja ya washiriki wa mkutano wa Vijana wa Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika kwenye ukumbi wa Eco Sanaa, Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeandaliwa na Global Power Shift Tanzania Chapter (NPS) kwa kushirikiana na Tanzania Youth Cultural Exchange Network (TYCEN).

Afisa Mwandamizi Mazingira, Abela Muyungi kutoka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.

Mratibu wa Mtandao wa mabadiliko ya Tabianchi CAN Tanzania,...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUFANYIKA 20 NOVEMBA 2015, KIJIJI CHA MAKUMBUSHO

Kutoka kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona, Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya, aliyeshiriki shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna Kiogwe, na Evelina Mageni  ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015.Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia juu ya mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Novemba 20 2015 kaika Kijiji cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani