Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaifilisi TANESCO

WAKATI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) likijiendesha kwa kusuasua kutokana na ukata na wakati wananchi wakilia kwa kuongezewa gharama za umeme, imebainika kuwa Shirika la Maji Safi na Maji Taka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika: Serikali, TANESCO zinafilisiana

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema kuwa serikali na TANESCO kwa pamoja zinafilisiana, na hali hiyo inasababishwa na udhaifu katika Wizara ya Nishati na Madini. Mnyika alitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali ndiyo inayoiua TANESCO

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) halina sababu ya kutafuta mchawi wa chanzo cha hali mbaya ya kifedha ya shirika hilo. Hii inatokana na taarifa ya shirika hilo jana ambapo imeonyesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali inavyolihujumu Tanesco,madeni

Wakati ongezeko la mahitaji ya huduma za umeme likiendelea kukua kwa kasi hapa nchini, Shirika la Ugavi nchini (Tanesco) linalohusika na huduma hiyo ndiyo kwanza linatambaa kwa kutumia magongo ya miti, likihitaji kunusuriwa.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco kufunga Luku taasisi za serikali

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneWAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema kuwa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) lina mpango wa kufunga mita za LUKU katika ofisi za taasisi zote za serikali kama moja ya mikakati yake katika ukusanyaji wa mapato.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaikemea Tanesco nguzo za nje

Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limetakiwa kuacha kasumba ya kutumia mabilioni ya fedha kununua nguzo za umeme nje ya nchi, badala yake linunue ndani ya nchi kwa kampuni za kizalendo ambazo zinazalisha nguzo imara.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswi: Serikali haina mpango wa kupunguza wafanyakazi Tanesco

Serikali imesema haina mpango wa kupunguza wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) chini ya mkakati wa kuboresha sekta ndogo ya umeme nchini na badala yake, imewataka waendelee kushirikiana kikamilifu kulitumikia shirika na wateja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani