Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakiri ukuaji wake wa uchumi wa taifa hauendani na hali halisi ya wananchi

Serikali imesema Uchumi wa Taifa umekuwa kwa asilimia saba kwa kipindi kilichopita ila kutokana na sera ya kuwekeza kwenye vitu visivyohusisha wananchi moja kwa moja kumepelekea ukuaji huo kutooneka wazi.

Kutokana na mchango wa pato la Taifa kwa Watanzania ambalo ni asilimia 70 waliopo vijijini na mashambani imebainika kuwa na mchango mdogo.

Katika maadhimisho ya  siku ya Takwimu Afrika, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha , Naibu katibu Mkuu Professa Aldof Mkenda amesema, kwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kipaumbele ni ukuaji uchumi wa wananchi

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli amefungua Bunge la 11 na kuwataka watendaji kote nchini kuhakikisha wanashiriki katika vita ya kuondoa umasikini, ili ukuaji wa uchumi wa nchi uendane na ukuaji wa uchumi wa watu na kusisitiza kuongeza ajira kupitia viwanda.

 

10 years ago

Mwananchi

Hali halisi ya nchi na rais tunaye mtaka, Taifa lifanye nini?

Wengi mtakubaliana nami kwamba kinyang’anyiro cha kumtafuta mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi kimekwenda kwenye kiwango kingine kabisa, na hasa ukizingatia mpaka sasa kuna makada zaidi ya 30 ambao wameonyesha nia ya kuomba ridhaa ya chama

 

11 years ago

Michuzi

Wasira awasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15. Wageni wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi waandamizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Serikali yakiri baadhi ya watumishi wake bomu


NA MIRIAM SARAKIKYA, EMAGS 
SERIKALI imekiri kuwa baadhi ya huduma zinazotolewa katika sekta ya umma haziridhishi na hazikidhi viwango.
Pia imesema yapo matatizo ya rushwa na ucheleweshaji wa uamuzi kwa watendaji,  bila ya sababu za msingi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi aliyasema hayo jana, Dar es Salaam, alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala nchini.
Alisema upo ubabaishaji unaofanywa na baadhi ya watumishi  ambao  wanakiuka...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21 WAWASILISHWA BUNGENI, LEO

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DK. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWAMWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEOWA TAIFA WA MWAKA 2020/21
UTANGULIZI
1.          Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21. Pamoja na hotuba hii ninawasilisha vitabu vya Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO,DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2019 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2020/21


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2020/21, jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, (kushoto) akiwa na Wakuu wa Taasisi na Idara wa Wizara hiyo, wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba: Hali ya uchumi ni mbaya, Serikali ichukue hatua

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa matatizo ya kiuchumi, kwa kuwa hali ilivyo sasa ni mbaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani