Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hali halisi ya nchi na rais tunaye mtaka, Taifa lifanye nini?

Wengi mtakubaliana nami kwamba kinyang’anyiro cha kumtafuta mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi kimekwenda kwenye kiwango kingine kabisa, na hasa ukizingatia mpaka sasa kuna makada zaidi ya 30 ambao wameonyesha nia ya kuomba ridhaa ya chama

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Serikali yakiri ukuaji wake wa uchumi wa taifa hauendani na hali halisi ya wananchi

Serikali imesema Uchumi wa Taifa umekuwa kwa asilimia saba kwa kipindi kilichopita ila kutokana na sera ya kuwekeza kwenye vitu visivyohusisha wananchi moja kwa moja kumepelekea ukuaji huo kutooneka wazi.

Kutokana na mchango wa pato la Taifa kwa Watanzania ambalo ni asilimia 70 waliopo vijijini na mashambani imebainika kuwa na mchango mdogo.

Katika maadhimisho ya  siku ya Takwimu Afrika, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha , Naibu katibu Mkuu Professa Aldof Mkenda amesema, kwa...

 

5 years ago

Michuzi

HATUTAWAWEKA KARANTINI WASAFIRI WA NDANI YA NCHI: RC MTAKA


Mtalaam wa Afya akipuliza dawa katika gari linalofanya safari zake kutoka Bariadi Mkoani Simiyukwenda jijini Dar es Salaam leo Aprili 17, 2020 wakati wa kuhamasisha zoezi endelevu la upuliziaji dawa katika magari ya abiria ambalo limekuwa likifanyika katika kituo cha Mabasi cha Somanda Mjini Bariadi na Vituo vingine  ikiwa ni moja ya jitihada za kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Mtalaam wa Afya akipuliza dawa katika gari linalofanya safari zake kutoka...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Kupunguza utegemezi kuendane na hali halisi

Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 itaanza kujadiliwa wiki ijayo baada ya kusomwa bungeni mwishoni mwa wiki na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na baadaye Spika Anne Makinda kutoa siku za wabunge kuisoma kabla ya kuanza kuijadili.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndanda FC, Mbeya City mkubali hali halisi

Ninawakaribisha katika kona hii ya hoja kuzungumza machache kuhusiana na michezo yetu. Tanzania ni nchi yenye watu zaidi ya 45 milioni kwa mujibu wa sensa ya 2012, lakini inashangaza hatuna hata maendeleo katika mchezo wowote.

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU HALI HALISI NDANI YA KARIAKOO

 Kutokana na Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani wauzaji wa Madafu wa kariakoo wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, wamepunguza bei kutoka shilingi 1000,hadi 500. kama unavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Mjasiriamali wa Madafu wa Kariakoo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akisubiri wateja wanaotoka sehemu mbalimbali,ambapo Dafu moja kwa sasa  limauzwa shilingi 500.
Hali halisi

 

9 years ago

Mwananchi

Mikakati ya kiuchumi ya Maghufuli inavyogusa hali halisi ya Tanzania

Miaka nenda miaka rudi,  Tanzania imeendelea kuhesabika miongoni mwa nchi maskini kabisa duniani.

 

10 years ago

Michuzi

KUSHUKA KWA MAFUTA KUENDANE NA HALI HALISI YA BIDHAA ZINGINE - SIMBACHAWENE

Na Chalila Kibuda
Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene amesema kushuka kwa bei ya mafuta kuendane na hali halisi ya vitu vyote vinavyotumia nishati hiyo.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam wakati alipokutana na wadau wa mafuta kupata mawazo katika uendeshaji wa sekta hiyo,Simbachawene amesema kuwa kushuka kwa mafuta hata nauli ya kusafiri kwa daladala pamoja na mabasi ya mikoani na nje ya nchi ni lazima zishuke.
Simbachawene amesema watanzania wanataka kuona kushuka kwa...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI HALISI ILIVYO VIJIJI VYA MAGOWE NA MATETENI MJINI MOROGORO BAADA YA MAFURIKO MAKUBWA

Team nzima ya Tanzania Redcross wakiwa katika picha ya pamoja mjini Morogoro katika maeneo ya Magowe na Mateteni ambayo yaliyoathirika na mafuriko makubwa hadi leo hii watanzania zaidi ya 500 wanaishi kwenye mahema. Kijana wa TRCS kutoka Mzizima Redcross branch ndugu Sute Samson Mtumbati akitoa elimu kwa wananchi juu ya kupambana na mazingira magumu wanayokutana nayo. Hili ni tank la maji safi ambalo uhudumia watu zaidi ya mia tano (500) ambalo halimalizi masaa 3 yanakwisha na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani