Serikali yaondoa zuio la Mikutano ya Vyama vya Siasa Lindi na Mtwara

Serikali imeondoa zuio la mikutano ya Vyama vya Siasa lililokuwa limetangazwa mwezi Mei mwaka juzi kuzuia mikutano hiyo kufanyika katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Zuio hilo limeondolewa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe.Mikutano hiyo ilizuiliwa kutokana na vurugu za wananchi waliokuwa wakipinga ujenzi wa mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam hali iliyosababisha kuvunjika kwa amani na utulivu katika mikoa hiyo.
Katika vurugu hizo, watu kadhaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Oct
Mikutano ya siasa Lindi, Mtwara ruksa
SERIKALI imeondoa zuio la mikutano ya vyama vya siasa lililokuwa limewekwa tangu mwaka juzi kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, anasema hatua hiyo imetokana na Serikali kuridhika kuwa hali ya amani na utulivu imerejea katika mikoa hiyo.
5 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
JEMBE FM MWANZA YAFUNGUA MILANGO KWA VYAMA VYA SIASA KUTANGAZA MIKUTANO LIVE.

Zoezi hilo ni gumu ila sisi kama jEMBe fM tunalirahisisha!! Sasa ili upate kuwafikia wananchi wengi ndani ya muda mfupi jEMBe fM imefungua milango kwa kutoa huduma ya matangazo ya...
10 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
11 years ago
GPL
5 years ago
Michuzi19 Jun
Serikali Yatoa Onyokwa Vyama vya Siasa Vitakavyoshirikiana Kinyemela Wakati wa Kampeni

Na Jacquiline Mrisho - DodomaVYAMA vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.
Onyo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, wakati alipofanya mahojiano kuhusu msimamo wa ofisi yake kwenye suala la ushirikiano wa...
5 years ago
CCM BlogHOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020
• Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,• Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,• Mkurugenzi wa Uchaguzi,• Msajili wa Vyama vya Siasa,• Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,• Viongozi wa Vyama vya Siasa,• Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,• Inspekta Jenerali wa Polisi,• Kamishna Mkuu wa Uhamiaji• Watendaji wa Tume,• Waandishi wa Habari,• Mabibi na Mabwana
Bwana...
5 years ago
CCM Blog
SERIKALI YATOA MSIMAMO KUHUSU VYAMA VYA SIASA VINAVYOTAKA KUSHIRIKIANA KINYEMELA UCHAGUZI MKUU (VIDEO)
Na Jacquiline Mrisho - Dodoma
Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.
Onyo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, wakati alipofanya mahojiano kuhusu msimamo wa ofisi yake kwenye suala la ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Nyahoza...