SERIKALI YAVIFYEKA VYAMA 3,348 NI BAADA YA KWENDA KINYUME NA UANZISHWAJI WAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-NwzqjDbzi6E/XrFkfPXcgMI/AAAAAAALpPA/UzfB9eBXl2UtPdEuQesbyRTHxkoK-oCQgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-05%2Bat%2B4.01.06%2BPM.jpeg)
Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo wakati akitangaza kuvifuta vyama 3,348 vya ushirika baada ya kwenda kinyume na uanzishwaji wake. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba.
Mwenyekiti wa Vyama vya Ushirika nchini, Titus Kamani akizungumza na wandishi wa habari baada ya Serikali kupitia Waziri wa Kilimo kutangaza kuvifuta vyama 3,348 vya ushirika.
Charles James, Michuzi TVSERIKALI imetangaza kuvifuta rasmi vyama vya Ushirika 3,348...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Nov
Msajili aonya uanzishwaji wa vyama vya siasa holela
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameonya tabia ya watu kuanzisha vyama vya siasa kama mchezo wa kuigiza na kuwarubuni Watanzania wakati ajenda zao hazina dhamira ya dhati kwa maendeleo ya nchi.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-1RbodIHvZcM/VIenvrCY_fI/AAAAAAAARi8/64o-rBQ7sY8/s72-c/UTATA%2BWA%2BMWONGOZO%2BNA%2BPIA%2BMWONGOZO%2BKWENDA%2BKINYUME%2BNA%2B%2BKANUNI(1)-page-001.jpg)
9 years ago
Mwananchi07 Jan
Serikali yawasaka wanaoishi nchini kinyume cha sheria
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mbMo2RIkhrk/XnN-DtAnxMI/AAAAAAALkdY/0Vq_LBXoi70sQjqjAitQuaYrAUCi-9jrwCLcBGAsYHQ/s72-c/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA-%2BOFISI%2BYA%2BMSAJILI%2BWA%2BVYAMA%2BVYA%2BSIASA.jpg)
9 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI MBEYA LAPIGA MARUFUKU KWENDA KUPIGA KURA UKIWA UMEVAA SARE ZA VYAMA
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limetoa rai kwa wafuasi wa vyama vishiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu kujiepusha kufika katika kituo cha kupigia kura wakiwa wamevaa nguo zenye picha za wagombea, maneno au nembo ama rangi za chama cha siasa.
Aidha wametakiwa , kuepuka kutumia uvumi, maneno ya uongo, hisia au visingizio vyenye lengo la kuwazuia wengine kwenda kupiga kura.
Pia amewataka kuepuka kufanya kampeni katika kituo cha kupigia kura iwe kwa...
10 years ago
Bongo520 Oct
Picha: Missy Elliott auonesha mwonekano wake wa sasa baada ya mwili wake kupungua sanaaa!
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
David Beckham aonyesha wazi ushabiki wake kwa Argentina baada ya kuwavisha watoto wake jezi za timu hiyo
Family outing: David Beckham and his three sons Brooklyn, Cruz and Romeo were all in attendance – with the boys all wearing Argentina kits.
Family ties: Beckham’s youngest son Cruz was also showing his support for Argentina in the team’s dark blue away kit.
Switched allegiances: David Beckham was in the crowd for the final with his young sons, including Romeo, 11, who was wearing an Argentina shirt.
Stars of the game: Former Brazilian internationals Kaka and Pele with Beckham before the...
11 years ago
Michuzi08 Feb
11 years ago
Michuzi08 Feb