Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shahidi aeleza alivyoshuhudia uporaji Mwanga

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari juzi aliieleza Mahakama kuu Kanda ya Moshi namna alivyoshuhudia majambazi wakipora Sh239 milioni za Benki ya NMB tawi la Mwanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Shahidi aeleza mengi mauaji ya polisi Mwanga

Kamishna Msaidizi (ACP) Duan Nyanda ameieleza mahakama kuwa mshtakiwa Samwel Saitoti alimpiga risasi ya kichwa Konstebo Michael Milanzi na kufumua ubongo wake

 

11 years ago

Mwananchi

Shahidi: Saitoti ndiye aliyeua Mwanga, Dar

>Raia wa Kenya,Samwel Saitoti ambaye ni mshtakiwa namba moja  katika kesi ya mauaji ya Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia  (FFU), PC Michael Milanzi aliyekuwa lindo kwenye Benki ya NMB Tawi la Mwanga ndiye anayetajwa kuhusika na mauaji ya Polisi mwingine Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Shahidi aeleza watuhumiwa walivyokamatwa

SHAHIDI wa tatu wa kesi ya wizi wa simu za thamani ya Sh milioni 19.4 inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala kuwa aliwakamata watuhumiwa hao kwa nyakati tofauti.

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi aeleza alivyoingiliwa kimwili na mganga

SHAHIDI wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga huyo kwa madai kwamba atampatia dawa ya kupata mtoto.

 

9 years ago

Habarileo

Shahidi aeleza Mwale ‘alivyocheza’ na akaunti

SHAHIDI wa kwanza katika kesi inayomkabili wakili maarufu hapa, Median Mwale na wenzake watatu, Ofisa wa Jeshi la Polisi, Fadhili Mdem, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, kuwa Mwale alipokea dola za Marekani kutoka akaunti ya Moyale Precious Gems Mineral and Enterprise Ltd iliyofunguliwa ikiwa na upungufu wa nyaraka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shahidi aeleza mshitakiwa alivyosaidiwa kutorosha twiga

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi, Kilimanjaro imeelezwa namna mshitakiwa namba moja katika kesi ya utoroshaji wa wanyama hai 130 wakiwamo twiga wanne kwenda nchi za Falme za Kiarabu, Kamran Ahmed,...

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi aeleza trafiki feki alivyofukuzwa chuoni

SHAHIDI wa pili katika kesi ya aliyejifanya askari polisi wa usalama barabarani, James Hassan (45) ameileza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kuwa mshitakiwa huyo alifukuzwa baada ya kuchelewa kuingia chuoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi aeleza walivyotekeleza agizo la Kamanda Kamuhanda

>Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Chanel ten, Daudi Mwangosi inayomkabili askari polisi, Pacificus Cleophace, jana ilianza kusikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Iringa chini ya Jaji Paulo Kihwelo kwa shahidi wa kwanza kuelezea namna walivyotekeleza agizo la aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda.

 

9 years ago

Vijimambo

Shahidi aeleza anayedaiwa kusuka mpango wa mauaji alivyonaswa

Erasto Msuya
Shahidi wa tatu wa upande wa mashtaka, Damian Chilumba, katika kesi ndani ya kesi iliyoibuka wakati wa usikilizwaji wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara, bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), amedai mshtakiwa Mussa Mangu, ndiye aliyeisaidia Polisi kumtia mbaroni ‘bosi’ aliyesuka mpango mzima wa mauaji hayo.

Chilumba ambaye kwa sasa ni Mkaguzi wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, alimedai baada ya kumkamata Mussa, aliwaeleza kwamba yeye binafsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani