Shamsa Ford: Usimuhukumu Mtu kwa Muonekano Wake
Usimjudge mtu kwa muonekano... MUONEKANO HUDANGANYA!!!! muonekano unaweza kufanya UKAMUHESHIMU mtu kumbe akawa mshenzi tu.. na muonekano huohuo unaweza ukafanya UKAMDHARAU mtu kumbe ni mtu wa maana.... wangapi wana haiba za upole na ustaarabu lakini ukiambiwa matendo yao ya nyuma unaweza ukabaki mdomo wazi... kuna wangapi wanaonekana ni WATU wenye roho kwenye jamii na wanaopenda kusaidia lakini nyuma ya pazia kwa watu wanaoishi nao kila siku roho zao zina kutu na manyanyaso... ila kwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies14 Aug
Shamsa Ford: Natamani Kuolewa na Mtu Ambaye Si Maarufu
Muigizaji wa filamu za Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisia zake za kutaka kuingia kwenye ndoa.
Shamsa ambaye kwa miezi kadhaa iliyopita amekuwa akikanusha kuwa na uhusiano na Nay Wa Mitego licha ya kuwepo kwa dalili nyingi zinazoashiria kuwa ni wapenzi, amesema sasa umefika muda anatamani kuolewa.
Muigizaji huyo wa ‘Chausiku’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja, ameongeza kuwa licha ya kutamani kuwa mke wa mtu lakini nafasi hiyo hawezi kumpa mtu maarufu, kwa lugha nyingine hawezi kuolewa na...
10 years ago
CloudsFM08 Apr
Nay Wa Mitego afunguka uhusiano wake na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Fleva,Elibarik Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’amefunguka uhusiano wake na mwigizaji wa filamu za Kibongo,Shamsa Ford baada ya picha kadhaa kuzagaa mtandaoni wakiwa kimahaba wakipigana mabusu.Akipiga Stori na Clouds Fm alisema kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote kwa sasa siyo tu Shamsa Ford, na nafasi ipo kwa yoyote anatakayekubali kuwa mpenzi wake.
‘’Jamani nipo singo kwa sasa sina uhusino na mwanamke yoyote na Shamsa siyo mpenzi wangu,’’alisema Nay. Akizungumzia picha...
10 years ago
Bongo Movies14 Apr
Hatimaye Shamsa Ford Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake
Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.”
Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto
Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Shamsa Ford Amshukuru Nay Kwa Kumvisha Pete!
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, staa wa Bongo Movies Shamsa Ford amemshukuru ‘Cousin’ wake Nay Wa Mitego kwa kumvisha pete.
“Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa” Shamsa aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo akiwa amavalia pete hiyo.
Kwa muda sasa mastaa hao wanaendelea kukanusha kuwa kwenye mahusiano ya kipenzi mbali na kuonekana kuwa na ukaribu unaotiliwa mashaka.
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
CloudsFM23 Jan
SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.
Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.
11 years ago
GPLSHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA
11 years ago
GPLSHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
11 years ago
GPLSHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA