Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHANGWE, NDEREMO,VIFIJO VYATAWALA RAIS MAGUFULI AKIVUNJA BUNGENI MJINI DODOMA

Na Said Mwishehe, Michuzi TVSHANGWA zatawala bungeni Rais Magufuli akivunja Bunge! Hivyo ndivyo ilvyokuwa leo Juni 16,2020 ambapo nderemo, shangwe, vifijo vilivyoambatana na kila aina ya furaha vilitawala kwa wabunge wakati Rais Dk.John Maguli akitoa hutuba ya kuvunja rasmi Bunge la 11.
Wakati Rais Magufuli akiwa katika Bunge hilo ambalo limehimitisha makukumu yake na kutoa nafasi sasa ya kuanza rasmi kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020,pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR LEO,VIFIJO NA NDEREMO VYATAWALA

  

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt  John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Suluhu Hassan wakionesha fomu zao za kuomba kugombea urais mara baada ya kuchukua kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam leo, ambapo walisindikizwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wakiwa wamepanda kwenye gari maalum. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi wa Msumbiji apokelewa nchini kwa nderemo na vifijo

 Msanii wa kikundi cha ngoma ya Mganda akitumbuiza  wakati wa mapokezi ya Rais wa Msumbiji Mhe Filipe Nyusi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.  Ngoma ya mganda   Sindimba   Kinamama wa kikundi cha Mount Usambara hawako nyuma  Rais Kikwete akisogea sehemu ya kumpokea mgeni  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe  Shamim Nyanduga. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

9 years ago

Michuzi

ONLY IN TANZANIA: RAIS MAGUFULI AKIWA NA MARAIS WASTAAFU BUNGENI DODOMA

Andika caption ya taswira hii kwenye sehemu ya maoni. Ikivutia  zaidi ya zote utapata zawadi ya fulana ya #HAPAKAZITU.Mwisho wa kutuma caption ni Kesho Jumapili saa sita usiku.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makinda apokelewa kwa Shangwe mjini Dodoma leo

Kikundi cha ngoma cha Lunyamila kikitoa Bururani kwa Mhe. Anne Makinda (wapili kulia) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege mjini Dodoma leo,baada ya kushinda kiti cha urais wa mabunge SADC. Mh. Anne Makinda akipokea maua kutoka kwa baadhi ya maafisa wa Bunge waliofika uwanjani hapo kumpokea. Mhe.Anna Makinda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu nafasi yake ya kuliongoza Bunge la SADECC mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege Dodoma akitokea Zimbabwe kupitia Nchini Botswana leo.

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI ALIPOLIHUTUBIA BUNGE MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akihutubia Bunge la Jamhuri kama ishara ya kuzindua Bunge la 11.Kabla ya Rais Dkt. Magufuli kuzindua Bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju aliomba Bunge likubali kutenguliwa kwa kanuni za Bunge ili kuruhusu wageni kuingia ndani ya Bunge hilo.Wabunge walionesha kuridhishwa na hotuba ya Mhe. Rais Makufuli, wakipiga meza kuunga mkono hotuba hiyo.Mhe. Rais Dkt. Magufuli (wa pili kushoto) akiwa na Marais Wastaafu Dkt....

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU UWT WILAYA YA DODOMA MJINI AONGOZA ZOEZI LA KUMDHAMINI RAIS MAGUFULI


Charles James, Michuzi TV

WANAWAKE wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Dodoma Mjini leo wamejitokeza kwa wingi kumdhamini Rais Dk John Magufuli katika fomu yake ya kuwania Urais kupitia chama hiko.

Zoezi hilo la ujazaji fomu limeongozwa na Katibu wa UWT Wilaya ya Dodoma Mjini, Diana Madukwa katika uwanja wa Jamhuri ambapo jumla ya wanawake 1,000 wamejitokeza kumdhamini Rais Magufuli.

Akizungumza na Michuzi Blog, Katibu huyo wa UWT Dodoma Mjini, Diana...

 

9 years ago

CCM Blog

HOTUBA YA MHE. RAIS MAGUFULI YA KUZINDUA BUNGE MJINI DODOMA IJUMAA NOVEMBA 20, 2014



HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015Hotuba Ya Mhe. Rais - Ufunguzi Wa Bunge La 11 Dodoma 2015

 

9 years ago

CCM Blog

WASOMI KUJADILI HOTUBA YA RAIS DK. MAGUFULI ALIYOITOA WAKATI WA KUFUNGUA BUNGE MJINI DODOMA

Waandaaji wa Mdajala kuhusu Hotuba ya Rais Dk. John Magufuli, aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge mjini Dodoma, wakizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani