Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein: Magufuli ndiye kiboko yao

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohammed Shein akiwapungia mkono wafuasi wa chama hicho mjini Zanzibar.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema uteuzi wa mgombea wa CCM katika nafasi ya rais wa Jamhuri ya Muungano katika uchaguzi mkuu, Dk John Magufuli ndio chaguo sahihi la kupambana na upinzani na kuleta ushindi katika CCM na kushika dola.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mike Tee ndiye aliyeandika script ya video ya ‘Kiboko Yangu’ ya Mwana FA

Bila shaka unaikumbua video ya ‘Kiboko Yangu’ ya Mwana FA na Alikiba iliyofanyika nchini Kenya na kuongozwa na Kevin Bosco Jr na kutoka January 2015. Script ya video hiyo iliandikwa na rapper Mike Tee ambaye pia ana vipaji vingine vya kutengeneza muziki pamoja na kuongoza video za muziki. Mike Tee a.k.a Mnyalu ameelezea jinsi ilivyokuwa […]

 

9 years ago

Vijimambo

Lowassa kiboko yao, Jangwani yatapika

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh Lowassa amesema kipaumbele chake kimoja wapo ni Elimu huku akisisitiza kuwa kampeni zao zitakuwa ni za busara na hekima bila kutumia matusi.Mke wa Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Mama Regina Lowassa akitoa salamu kwa wakazi wa Jiji la Dar Waliojitokeza katika uzinduzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND THE PLATNUMZ AWARUSHIA BURUNGUTU LA MAMILION MASHABIKI WAKE KWENYE TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO LEADERSCLUB

Chini Diamond akiwamwagia pesa washabiki wenye chuki binafsi baada ya kumrushia chupa punde tu ya jina lake kutatwa iliapande jukwaani. Kuona hivyo alifungua kibuda cha wekundu wa msimbazi na kukimwaga mbele yao na kisha kuanza kuimba baada ya wale wenye fujo kuwa busy na kugombea pesa. Hizo ni nyepesi nyepesi na udambwidambwi wa siku ya show ya tigo kiboko yao iliyoshirikisha wakali kibao wa mziki wa kizazi kipya kwenye viwanja vya leaders kinomdoni.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Magufuli ni kiboko


NA EVA-SWEET MUSIBA, BUNDA.
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amepunguza bei ya kivuko cha MV Mara kutoka sh. 2,000 hadi sh. 500 kwa mtu mmoja.
Magufuli pia ameamuru kivuko hicho kisiwatoze nauli wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanapokuwa wamevaa sare za shule.
Waziri huyo wa ujenzi alitoa agizo hilo jana baada ya kukizindua kivuko kipya cha MV Mara, kitakachoanza kufanya safari zake kutoka kijiji cha Mugala-Kwiramba wilaya ya Bunda kwenda Majita-Kurugee wilayani Butiama.
Kivuko...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.Viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika Afisi ya CCM Mkoa Amani Zanzibar.Naibu Katibu Mkuu...

 

9 years ago

GPL

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI‏

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia Viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Mjini Unguja na kuwaomba kumpigia Kura ya Ndio Mgombea wa Urais wa CCM Dk Ali Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli na Wagombea wote wa CCM. Mke wa Rais wa Zanzibar akiwahutubia Viongozi wa UWT wa Mkoa wa Mjini Unguja wakati wa mkutano wake wa kampeni ya kumuombea...

 

9 years ago

Habarileo

JK: Magufuli ndiye mshindi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema tayari mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ameshashinda uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani