Shell yakubali kulipa fidia Nigeria
Kampuni kubwa ya mafuta ya Shell imekubali kulipa dola milioni 80 kama fidia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Bunge Nigeria lataka Shell ilipe fidia
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Japan yakubali fidia kwa watumwa wa ngono
10 years ago
BBCSwahili28 May
Hospitali kulipa fidia ya Ujauzito
10 years ago
Habarileo08 Mar
Milioni 85 kutumika kulipa fidia Ruangwa
NAIBU Waziri wa Maji Amosi Makala amewahakikishia wananchi wa kijiji cha Chinongwe wilayani Ruangwa kwamba Wizara ya Maji imesikia kilio chao cha muda mrefu kuhusu fidia katika mradi wa usambazaji wa maji kupitia mradi mkubwa wa Mbwinji na kwamba tayari fedha za fidia hizo zimeshapatikana.
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Marikana:Afrika kusini kulipa fidia
10 years ago
Uhuru Newspaper05 Mar
Bunge laitaka serikali kulipa fidia Kipunguni
NA EMMANUEL MOHAMEDKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kuharakisha malipo ya fidia kwa wananchi wa eneo la Kipunguni, Dar es Saalam kabla ya kuanza kwa vikao vya Bajeti vya Bunge. Imesema kuendelea kucheweleshwa kwa juhudi za kulipa fidia hiyo inahatarisha kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa jengo jipya la abiria (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Awali, wananchi wa eneo hilo walitakiwa...
11 years ago
Habarileo03 Jun
TAZARA yatakiwa kulipa fidia wafanyakazi 270
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeiamuru Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) iwalipe fidia wafanyakazi 270 kwa kuwastaafisha kwa lazima kabla ya umri halali wa kustaafu.
11 years ago
Habarileo17 May
Bil.6.8/-kutumika kulipa fidia Makambako hadi Songea
SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 6.8 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi walioko kandokando mwa barabara kuu kutoka Makambako hadi Songea.
11 years ago
Mwananchi14 Jul
IPTL yamtaka Kafulila kulipa fidia ya Sh310 bilioni