SHEREHE ZA EID DMV
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV (kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu Julai 28, 2014 na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboSHEREHE YA EID DMV
11 years ago
Dewji Blog30 Jul
Sherehe za Eid DMV
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid...
11 years ago
MichuziSHEREHE ZA EID EL FITR DMV
10 years ago
VijimamboUNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA EID EL FITR ZA PAMOJA DMV
Asalam Alaykum Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Fitr, kuadhimisha Kumaliza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Zitakazo Fanyika (Inategemea Kuandama kwa Mwezi)
Friday July 17, 2015
1. Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El EidKuanzia Saa Tatu Asubuhi – Saa Nane Mchana 9AM-2PM
Wheaton Claridge Park 11901 Claridge RoadWheaton, MD 20902
2. Sherehe za Eid za Jioni Kuanzia Saa Kumi na...
10 years ago
VijimamboWOTE MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA EID - AL-HAJJ HAPA DMV
Jumuiya ya Waislamu ya Washington DC (TAMCO), Inapenda kuwatangazia kwamba sherehe za Eid El Hajj zitafanyika siku ya Jumamosi, October 4th, 2014. Kuanzia saa nane mchana mpaka saa tatu usiku . (2PM-9PM)
Anuani ni kama ifuatavyo;
Quince Orchard Valley Neighborhood park12015 Suffolk Terrace, Gaithersburg, MD 20878.
Tunawaomba WATANZANIA WOTE tujumuike pamoja na familia zetu katika kusherehekea siku hii tukufu.
10 years ago
GPLDIAMOND USIPIME, ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV
10 years ago
GPLSHEREHE YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAFANA DMV
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...
10 years ago
VijimamboEID MOSI DMV