Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA KIHISTORIA KATIKA USHARIKA WA KISWAHILI MINNESOTA ZAFANA

Vijana wabarikiwa wakiwa katika ibada ya ubarikio kabla ya shughuli ya kuwabariki
Usharika wa Kikristo wa Kiswahili, ulio chini ya kanisa la kiinjili la kilutheri marekani, umebariki vijana tisa kwa mara ya kwanza kuwa washarika kamili. Tukio hili la kihistoria lilifanyika Jumapili iliyopita (8/24/2014). Mara baada ya ibada ya ubarikio, vijana, familia, ndugu, jamaa na washarika wote walielekea katika ukumbi wa mji wa Shoreview kwa ajili ya mapokezi ya vijana hao na chakula cha jioni. Sherehe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Miaka 50 ya uhai wa Bendi Msondo Ngoma zafana Jijini DarMsondo Ngoma zafana Jijini Dar

Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea Jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.

Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Mei Mosi Mwanza zafana

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

 Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza.

unnamed

 Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..

 

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za UN zafana: TZ yataka utekelezaji mfuko wa GCF

IMG_2364

Kapteni Emmanuel Kukula (aliyenyoosha kidole)  wa Jeshi la Wananchi Tanzania akiwa na baadhi ya maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu wakishauriana masuala ya Protokali kabla ya kuanza kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake zilizofanyika leo jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Karimjee. (Picha na Zainul Mzige)

Na Mwandishi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi zafana Uwanja wa Taifa

D92A1902

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa anaingi uwanja wa Uhuru leo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Pembeni ni Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.

D92A2008

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.

D92A2053

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MEI MOSI ZAFANA JIJINI MWANZA

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.  Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .  Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..

 

10 years ago

Mtanzania

Sherehe za Muungano zafana, majeshi yawa kivutio

Pg 2Patricia Kimelemeta na Jonas Mushi, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania kuadhimisha sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, huku vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa kivutio kikubwa.
Tofauti na ilivyozoelekea miaka yote ambako vikosi vya ulinzi na usalama huwa vinakuwa kundi moja tu vikiwa vimevalia sare maalumu za sherehe, jana kulikuwa na makundi mawili tofauti yakiwa na zana nyingi na za kisasa zinazotumika katika utendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA UN ZAFANA: TANZANIA YATAKA UTEKELEZAJI MFUKO WA GCF

IMG_2656Pichani juu na chini ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akimtambulisha mgeni rasmi Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka kwa baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.IMG_2657IMG_2672Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi, Profesa...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA BENDI YA MSONDO NGOMA ZAFANA SANA

 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.
Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo za kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 50 ya Muungano zafana jijini Beijing, China

 Keki Maalumu kwa ajili ya sherehe hio  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akiwa na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 50 ya Muungano jijini Beijing, China,  makamu mwenyekiti wa kamati kuu ya baraza la ushauri wa kisiasa ya watu China Mhe. Chen Yuan, wakizungumzia mahusiano yaliyopo kati ya CHina Na Tanzania kwa miaka 50 sasa.  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akihutubia wakati wa sherehe za miaka 50 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani