Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA MIAKA 50 YA BENDI YA MSONDO NGOMA ZAFANA SANA

 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.
Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo za kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Miaka 50 ya uhai wa Bendi Msondo Ngoma zafana Jijini DarMsondo Ngoma zafana Jijini Dar

Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea Jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.

Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

10 years ago

Michuzi

MSONDO NGOMA YAENDELEA NA MAKAMUZI YA MIAKA 50 YA BENDI YAO

Wanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma wakitumbuiza katika onesho lao la kusherehekea kutimiza miaka 50 toka kuanza kwa bendi hiyo lililofanyika katika viwanja vya Sigara Chang'ombe jijini Dar es Salaam.kutoka kushoto ni Said Mabela, Othuman Kambi na Mustafa Pishuu.Wacharaza magita wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao hilo. kushoto ni Said Mabela na Mustafa Pishuu.Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakitoa budurani kwa mashabiki wako wakati wa onyesho la muendelezo wa wiki...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA,ZAFANA SANA NCHINI OMAN

Ubalozi wa Tanzania mjini Muscat, Oman chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Balozi Ali Ahmed Saleh, hivi karibuni , uliandaa sherehe iliyofana sana ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano. Sherehe hii ilifanyika katika ukumbi wa Jibrin kwenye hotel ya kitalii ya Intercontinental  Muscat.
Mgeni rasmi katika sherehe hii alikuwa Mheshimiwa Ahmed  bin Nassor bin Hamad Al Mahrazi,  Waziri wa  Utalii wa Oman aliyeongoza ujumbe mzito wa Serikali ya Oman ambao pia ulijumuisha , Mheshimiwa  Said bin Saleh...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM ZAFANA SANA MJINI SONGEA LEO


Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya MrishoKikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais JakayaMrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha shereheza kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCMMwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais...

 

10 years ago

Michuzi

Juma Katundu wa Bendi ya Msondo Ngoma na Amina Said Nguriche 'Queen Emmy' wameremeta

Muimbaji mahiri wa Bendi ya Msondo Ngoma,Juma Katundu na Mai waifu wake Amina Said Nguriche 'Queen Emmy' wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka katika ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita Kimara mwisho,Jijini Dar es Salaam. 

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA NYERERE DAY ZAFANA SANA JIJINI LUSAKA, ZAMBIA

TAREHE 12/10/2014, UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA UKISHIRIKIANA NA UONGOZI WA WATANZANIA WANAOISHI NA KUFANYA KAZI, BIASHARA NA KUSOMA NCHINI ZAMBIA ULIANDAA MICHEZO MBALIMBALI, CHAKULA NA VINYWAJI KATIKA KUSHEREHEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE (NYERERE DAY) INAYOANGUKIA TAREHE 14/10 KILA MWAKA. KATIKA MAADHIMISHO HAYO MICHEZO YA KUVUTA KAMBA, KUFUKUZA KUKU KWA AKINA MAMA, DRAFT, BAO NA MPIRA WA MIGUU ILIFANYIKA ILI KUMUENZI...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, The  Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni almarufu pia kama viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens wenye makao nchi Ujerumani, inatuma salamu na saluti za kuitakia heri ya miaka 50 bendi kongwe barani afrika MSONDO NGOMA MUSIC BAND aka Baba ya Muziki ya watanzania ambayo mwezi Oktoba 2014 itatimiza miaka 50 na kuweka rekodi ya kuwa bendi kongwe pekee barani Afrika ! 
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

JUBILEE YA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA , TCC CHANG’OMBE

 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.
Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani