Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sherehe za KMKM za kufurahia Ushindi Misimu Miwili‏‎ mfululizo


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wapiganaji wa jeshi la KMKM katika sherehe za ushindi wa timu zake katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika leo viwanja vya maisara Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maaalum za SMZ Haji Omar Kheri.  Kamanda Haidari akiwa kama kocha kwa Timu yake ya Makamanda waliostaafu wa KMKM katika sherehe za  sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Sababu Kumi za Kujaribu Casino Heist ya Meridianbet,Sherehe ya Ushindi imeanza

MERIDIANBET inakuletea toleo jingine makini la msisimko wa Casino katika mchezo wa CASINO HEIST-na hii sio sloti ya kawaida tu.
Kila kipengele cha mchezo huu wa kufurahisha wa Casino ya Meridianbet unaweza kucheza katika aina zote za simu sambamba na kuundwa kwake kwa umakini ili kuwapa burudani kabambe wachezaji wake. 
Kitu cha kwanza, grafiki zake ni za ajabu na hutengeneza mazingira ya kuwepo kwenye Kasino halisi, wakati kitu cha kuvutia zaidi kikiwa katika mandhari ya mchezo - Casino...

 

10 years ago

Michuzi

KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE - BASATA

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba shindano la urembo nchini maarufu kwa jina la Miss Tanzania limefunguliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kwamba Kampuni ya Lino International Agency LTD ambayo ni waendeshaji wa shindano hilo imewataka mawakala wake kuanza maandalizi ya shindano hilo.
Taarifa hizo za kufunguliwa shindano hilo zilienda mbali kwa kueleza kwamba mawakala wametumiwa kalenda ya mashindano...

 

10 years ago

Vijimambo

BASATA - KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba shindano la urembo nchini maarufu kwa jina la Miss Tanzania limefunguliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kwamba Kampuni ya Lino International Agency LTD ambayo ni waendeshaji wa shindano hilo imewataka mawakala wake kuanza maandalizi ya shindano hilo.
Taarifa hizo za kufunguliwa shindano hilo zilienda mbali kwa kueleza kwamba mawakala wametumiwa kalenda ya mashindano...

 

10 years ago

Mwananchi

Samunge kufurahia umeme nafuu

Neema ya huduma za umeme imewaangukia wakazi wa Kijiji cha Samunge, Wilaya ya Ngorongoro, Mkoa wa Arusha baada ya Kampuni L’s Solutions kushinda ufadhili wa Dola za Marekani 100,000 kusambaza nishati hiyo katika eneo hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI

  Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu.  Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Alastair Cook kufurahia kriketi tena

Mchezaji kriketi Alastair Cook analenga kuendelea kucheza mchezo huo akiwa na furaha.

 

10 years ago

GPL

ZAIDI YA WANAFUNZI 60,000 WA UDOM KUFURAHIA AIRTEL WI-FI

Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu.… ...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA VYUO KUFURAHIA HUDUMA YA KUPIGIANA SIMU BURE

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo imezindua kifurushi maalum kinacho wawezesha wanafunzi, ambao ni wateja wa Tigo, kuweza kupigiana simu bure.
Huduma hii imeboreshwa zaidi baada ya kifurushi hicho kwa jina maarufu kama Tigo Uni Pack kuzinduliwa mwaka jana, ukilinganisha na kifurushi cha zamani, kifurushi hichi kipya cha wiki kitawapatia wanafunzi wepesi wa kujiunga wakiwa popote ndani ya nchi, hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kampuni ya Tigo...

 

5 years ago

Michuzi

Meridianbet sasa inakuletea kitu kingine kizuri, kufurahia ubashiri

WAKATI Euro 2020 ikiwa imeahirishwa, Meridianbet sasa inakuletea kitu kingine kizuri zaidi wewe kuendelea kufurahia ubashiri. PES inakupa fursa nzuri ya kupata pesa kibao, ukiwa na Meridianbet unaweza kubashiri kwenye mechi kutoka vilabu vya vikubwa ulimwenguni na sasa – timu za taifa!
Bashiri matokeo ya mechi zako pendwa za PES zinazochezwa na wachezaji wa soka na timu halisi! Hizi tayari ni timu kubwa na majina makubwa ambayo tayari ulikuwa ukibashiri kabla.
Meridianbet.co.tz inakupa ofa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani