SHEREHE ZA MIAKA 53 ZA UHURU WA TANZANIA -FINLAND
Jumuiya ya Urafiki wa Wafini na Watanzania inayofuraha kukualika kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania. Mgeni rasmi anatazamiwa kuwa balozi wa Tanzania mh Dora Mmari Msechu anaye hudumia nchi za Baltic na Nordic.
Hii itakuwa ziara yake ya kwanza nchini Finland. Karibu kushiriki nasi kwenye mijadala,chakula cha kitanzania,buradani.
Wageni mnaotoka nje ya Finland unaweza wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu malazi kabla ya November 30, 2014.
Maelezo zaidi ingia kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana DMV
10 years ago
MichuziSHEREHE ZA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAFANA DMV
Katika sherehe hiyo iliyoratibiwa na maporomota wakubwa nchini Marekani Phanuel Ligate, Innocent Batamilwa na Dickson Mkama wakishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani huku mgeni rasmi akiwa...
10 years ago
GPLSHEREHE YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAFANA DMV
10 years ago
Michuzi
JK AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 40 ZA UHURU WA MSUMBIJI


Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji.Msumbiji ilipata uhuru wake tarehe25 June...
9 years ago
StarTV24 Nov
Serikali yafuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru
Serikali imefuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa tanganyika na badala yake siku hiyo kwa mwaka huu itatumika kufanya usafi nchini kote kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Agizo la serikali la kufuta maadhimisho hayo mwaka huu, limetolewa na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dakta john pombe magufuli, kupitia katibu mkuu kiongozi, ombeni sefue.
Hii ni mara ya kwanza kwa serikali kufanya hivyo katika siku ya uhuru ambayo huadhimishwa disemba tisa kila mwaka...
10 years ago
GPL11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete ahudhuria Sherehe za Miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji


11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 52 Uhuru wa uganda

