Sherehe za TANZANIA DAY 2014 Sweden
![](http://4.bp.blogspot.com/-Sr4s1ElxDCE/U8bLE9yhywI/AAAAAAAF25E/nGGNfpbRHTY/s72-c/unnamed+(26).jpg)
Jumuia ya watanzania Sweden inawakaribisha WaTanzania wote waishio nchini Sweden na nchi za skandinavia kuhudhuria kwenye Sherehe za TANZANIA DAY 2014 .
Sherehe itafanyika Stockholm tarehe 27th Sept 2014 kufanyika katika Ukumbi utakua wa Bergshamra: Adress ni Bergshamra Skola, Hjortstigen 1, Bergshamra, Solna.Kuanzia saa 15:00 jioni mpaka saa 03:00 Usiku. Kutakuwa na Nyama choma itayoambatana na viburudishi mbalimbali kuanzia 15:00 jioni mpaka saa 20:00 usiku.
Saa 20:00 mpaka 03:00 usiku Dj...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SKrp00xKnv8/U0cYnsjhdGI/AAAAAAAFZ5Q/xhz2nPe1jMg/s72-c/unnamed+(42).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xRfW9P_CKkU/VCoGJ8Iv5HI/AAAAAAAGmlQ/4GEKmfHQxMg/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Taswira za Sherehe ya WaTanzania nchini Sweden na mkutano wa kumkaribis​ha balozi Dora Msechu
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fRfJlnZ3IqA/U0jB_EwuWkI/AAAAAAAFaDs/6ETZ5ykVtbk/s72-c/TANGAZO+-+Muungano+Day+Celebration+-+FOR+blogs_0001.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PLgikJ04YM8/VHKXrO_H10I/AAAAAAAGzFQ/jo3JWJW18d0/s72-c/CrowdriseWorldAIDSDay2014Uganda-5470debd42c0c.jpg)
World AIDS Day When: December 1, 2014 Time: 8am-4:30pm Where: Tanzania and Uganda
![](http://2.bp.blogspot.com/-PLgikJ04YM8/VHKXrO_H10I/AAAAAAAGzFQ/jo3JWJW18d0/s1600/CrowdriseWorldAIDSDay2014Uganda-5470debd42c0c.jpg)
Theme: Prevention Beyond Mother-to- Child Transmission (PbMTCT)
Collaborating with: Mildmay Uganda and Profam Royal Domiciliary Clinic
Description: In order to achieve " Getting To Zero", CSI joins the global community in the fight against HIV and AIDS by strengthening efforts to prevent future mother-to child transmissions and reaching out to adolescents and youth with educational materials and information to protect themselves.
The CSI theme "PbMTCT" is to engage more parents, guardians,...
10 years ago
Vijimambo07 Oct
DICOTA 2014 CONVENTION DAY 3 SATURDAY OCT 4, 2014
Broadcast live streaming video on Ustream
Broadcast live streaming video on Ustream
Broadcast live streaming video on Ustream
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Vs8wDvuVEGo/VDwbOC2aElI/AAAAAAAGp6Y/bHi51b_Lveo/s72-c/unnamed%2B(31).jpg)
SHEREHE ZA NYERERE DAY ZAFANA SANA JIJINI LUSAKA, ZAMBIA
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
Sweden yafurahishwa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo alipotembelea kiwanda cha METSO cha kutengenezea vipuli vya mitambo ya gesi na mafuta katika jiji la Helsinki, Finland.(Picha na IKULU).
Serikali ya Sweden inaridhishwa na kiwango cha maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita na inadhamiria kuinua ushirikiano baina yake na Tanzania ili kuleta maana zaidi katika maendeleo na kukua kwa uchumi kwa ujumla.
Waziri Mkuu wa Sweden Stefan Lofven amesema hayo tarehe 4, Juni,...
11 years ago
MichuziTANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
10 years ago
Habarileo08 Jun
Sweden, Tanzania kukuza ushirikiano kibiashara
NCHI ya Sweden imedhamiria kuukuza ushirikiano wake na Tanzania kwa Awamu mpya ambayo itaongeza uwekezaji na biashara zaidi.