Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHERIA GANI INATUMIKA KURUHUSU UHIFADHI TAKA WA AINA HII,KANDO KANDO YA BARABARA KUU??

 Kamera ya Globu ya Jamii,mchana wa leo imepita kwenye barabara ya Morogoro rodi kuanzia Magomeni mpaka Shekilango na kukuta malundo ya taka ngumu yakiwa yamekusanywa kwa mafungu mafungu namna hii.hapo ndipo swali likanijia,kwamba hivi uhifadhi taka wa namna hii umeruhusiwa kisheria ama ni ndio mambo yetu yake yale kuleana.?? na kama ni Sheria ni ipi inayoruhusu uchafuzi wa mazingira namna hii?? nilijikuta nikikosa majibu na ndipo ilipobidi kuja na mada hii hapa Globu ya Jamii ili tuweze...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mtu mmoja akutwa amekufa kando kando ya mto Ilolo,jijini Mbeya

 Asubuhii hii mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa amepoteza maisha,haijafahamika mpaka sasa ni kitu gani kilichomsibu mtu huyo mpaka kufukwa na mauti hayo.mpaka sasa hakuna alieweza kumtambua mtu huyo haifahamiki kuwa ni mkazi wa wapi.Kumradhi kwa picha    mwili wa marehemu huyo ukiwa kando ya mto huo. Wakazi wa maeneo ya jitani na mto huo wakiuangalia mwili huo kuona kama wanaweza kumtambua.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

KIKWANGUA ANGA KANDO KANDO YA MTO UNAOKATIZA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR

 Kamera yetu leo inakuletea Taswira hii ya kikwangua anga kinachoibuka kwa kasi kando kando ya mto unaokatiza bonde la Jangwani na barabara ya Morogoro rodi,jijini Dar.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ATEMBELEA WANANCHI WAISHIO KANDO KANDO YA BANDARI YA KASANGA,WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na baadhi ya viongozi wa chama Wilaya ya Kalambo,wakikatiza kwenye Ofisi ya CHADEMA,ambayo inadaiwa imefungwa yapata miaka mitatu sasa, kwa kushindwa kulipia pango.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akibeba tofali aliyoifyatua,ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa jengo la CCM,wilayani Kalambo.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kata ya Kasanga,iliopo ndani ya wilaya mpya ya Kalambo,mkoani Rukwa mapema jana jioni.Kinana bado...

 

9 years ago

Vijimambo

HABARI ZA KAMATI KUU YA CCM KUMUWEKA KANDO KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU NAPE NNAUYE SI ZA KWELI

Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu Maalum leo tarehe 17 Agosti 2015,kinachoendelea kwenye Makao Makuu ya Chama,Ofisi Ndogo Lumumba.
Ndugu Msomaji, kuna taarifa za uongo zimeenezwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii zikisema kuwa Kamati kuu ya CCM imemuweka kando Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye kutoka katika nafasi hiyo na kumteua Ndugu John Chiligati kushika wadhifa huo.
Taarifa hizo si za kweli kwani Kamati kuu haijafanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Walio na 'mipango ya kando' mashakani

kifaa cha semenspy kina mwongozo wa kuwabaini wanandoa walio na mipango ya kando mbali na wabakaji

 

10 years ago

BBCSwahili

AU yajiweka kando uchaguzi wa Burundi

Umoja wa Afrika umesema hautapeleka waangalizi wake wa uchaguzi kutokana na uchaguzi huo kukosa sifa

 

10 years ago

Habarileo

‘Wekeni kando ushabiki wa kisiasa’

WAKAZI wa Moshi Vijijini wametakiwa kuweka ushabiki wa kisiasa kando na badala yake kuangalia maslahi yao ili waweze kupiga hatua za maendeleo kwa haraka.

 

9 years ago

Habarileo

Lundenga ajiweka kando Miss Tanzania

KAMPUNI ya Lino International Agency Limited ambao ni waandaaji wa shindano la kusaka mlimbwende wa Tanzania maarufu Miss Tanzania imeteua kamati mpya itakayoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani