Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shibuda: Wajumbe wafundishwe historia ya Tanzania

Mjumbe wa Bunge la Katiba, John Shibuda ameomba Bunge litenge nafasi kuwafundisha baadhi ya wajumbe historia ya nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watoto wafundishwe kushukuru wanapopewa kitu.

Natumaini wajukuu zangu wote ni wazima wa afya, mkiendelea na likizo hapo nyumbani lakini nawakumbusha msisahau kujisomea na kusahihisha mitihani yenu kwa wakubwa wenu pale mlipokosea.

 

9 years ago

Bongo Movies

Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa Kwanza 1967 Katika Historia ya Tanzania

Mwaka
1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na
muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.Kwani kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba mrembo wa kwanza kunyakua
taji hilo la Miss Tanzania, si mwingine bali alikuwa Theresa Shayo. M’s Tanzania wa Kwanza (Hayati Theresa)

 

Kutokana na maadali na utamaduni ya mtanzania serikali ililazimika
kuyapiga marufuku mashindano hayo ilipofika tu mwaka 1967, kabla ya Rais
wa awamu ya pili Alhaj Ali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Historia ya Muungano wa Tanzania

Wiki hii Aprili 26 ,Tanzania inaadhimisha miaka 50 ya Muungano tangu nchi ya Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuzaa nchi ya Tanzania. Nchi hizi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar ziliungana April 26, mwaka 1964. Hii hapa historia ya Muungano huo

 

10 years ago

Mwananchi

Ijue historia ya Serikali za mitaa Tanzania-2

Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Ifuatayo ni sehemu ya pili ya makala inayoelezea historia ya Serikali za mitaa Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Historia ya Serikali za Mitaa Tanzania — hitimisho

Serikali za Mitaa ni vyombo vya wananchi ambavyo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huundwa, huendeshwa na huwajibika kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Oktoba 25 inaweza kubadili historia ya Tanzania?

Oktoba 25, inaweza kuwa ndiyo siku muhimu kuliko zote mwaka huu kwa Watanzania. Hiyo inatokana na ukweli kwamba ni siku ambayo wananchi 22.75 milioni wanatarajiwa kupiga kura kuchagua viongozi watakaoiongoza nchi yetu kwa miaka mitano ijayo. Si ajabu kwamba kila Mtanzania anajua umuhimu wa Oktoba 25 ingawa wapo wanaojua zaidi. Wachambuzi wa mambo wanabashiri uwezekano wa kubadilisha historia ya nchi ya Tanzania kwa kupata kiongozi kutoka chama mbadala, mbali na CCM kinachotawala...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania Top Models ilivyoandika historia

DESEMBA 7, mwaka huu, iliandikwa historia mpya katika fani ya uanamitindo hapa nchini, pale shindano la Tanzania Top Models lilipofanyika kwa mara ya kwanza. Shindano hilo limeasisiwa na Tanzania Top...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Niler aandika historia Tanzania Top Model

MWANAMITINDO Niler Mruma (21), amefanya kisichotarajiwa na wengi baada ya kunyakua mataji yote matatu yaliyokuwa yakigombewa kwenye shindano la kwanza la Tanzania Top Model lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani