Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIGONGO AHAMASISHA JINSI YA KUJIONGEZEA KIPATO

  Eric Shigongo akitoa somo kuhusu kujiongezea kipato katika ujasiriamali katika maombi ya Glorious Worship Team (GWT) (wasikilizaji hawapo pichani).   …Akisisitiza jambo katika mada yake. Wahudhuriaji  wakifuatilia kwa makini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAMESHAURIWA KUJIHUSISHA NA UFUGAJI WA SUNGURA ILI WAWEZE KUJIONGEZEA KIPATO

 .Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya The Dila Africa, Jumba Dickson,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ufugaji wa sungura unaweza ukawasaidia wakulima katika kujiongezea kipato kwa mbali na kuuza nyama yake lakini pia wana uwezo wa kuuza kinyesi, mkojo pamoja na ngozi yake,katika ziara ya mafunzo kuhusu mradi huo katika eneo la Kivungwi kata ya Vigwaza, Mkoa wa Pwani.  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya The Dila Africa, Jumba Dickson, akiwaonesha waandishi moja ya sungura...

 

10 years ago

Mwananchi

Unafahamu jinsi ya kujijengea au kujiongezea ujasiri?

Ukikutana na mtu akakuuliza; baada ya kumcha Mungu ni jambo gani jingine muhimu unafikiri binadamu anapaswa kulifanya katika maisha yake? Hapana shaka hutaweza kutoa jibu mara moja kwa sababu utajikuta ukifikiria mambo kadhaa, wala hutaweza mara moja kutambua lipi ni muhimu kuliko yote.

 

11 years ago

Mwananchi

unatambua jinsi ya kujijengea au kujiongezea ujasiri?

Ukikutana na mtu akakuuliza; baada ya kumcha Mungu ni jambo gani jingine muhimu unafikiri binadamu anapaswa kulifanya katika maisha yake? Hapana shaka hutaweza kutoa jibu mara moja kwa sababu utajikuta ukifikiria mambo kadhaa, wala hutaweza mara moja kutambua lipi ni muhimu kuliko yote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, unaichukuliaje hatua ya maraisi kujiongezea muda?

Kuna tabia ambayo inaonekana kutanda kote barani Afrika ambapo baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba kuwapa muhula wa tatu.

 

10 years ago

Habarileo

Kamani ahamasisha kujiandikisha

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani amewaambia wananchi wa Mji wa Kahama kuwa ili Mbunge wa Jimbo Kahama James Lembeli arejee bungeni ni vyema wakajitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtanzania ahamasisha dunia

Hebu tafakari, kusafiri kutoka Amerika ya Kusini hadi London, Ujerumani na kisha Afrika kwa baisikeli? Nini lengo lake?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani