Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamani ahamasisha kujiandikisha

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani amewaambia wananchi wa Mji wa Kahama kuwa ili Mbunge wa Jimbo Kahama James Lembeli arejee bungeni ni vyema wakajitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Johari Ahamasisha Kujiandikisha Kupiga Kura

Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’  ambaye ni kada mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi  (CCM) amehamasisha watu wajitokeze kujiandijisha kwenye daftari la wapiga kura.

“Tujiandikishe kupiga kura” Johari aliandika hayo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa Davina siku muigizaji mwezao Steve nyeye alipokuwa anatangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo la Kindondoni kupitia cha cha mapinduzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtanzania ahamasisha dunia

Hebu tafakari, kusafiri kutoka Amerika ya Kusini hadi London, Ujerumani na kisha Afrika kwa baisikeli? Nini lengo lake?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbene ahamasisha uwekezaji maeneo ya EPZA

SERIKALI imewahamasisha wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza kwa wingi katika maeneo ya Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) kwa faida yao na ya nchi kwa ujumla. Naibu...

 

10 years ago

GPL

SHIGONGO AHAMASISHA JINSI YA KUJIONGEZEA KIPATO

  Eric Shigongo akitoa somo kuhusu kujiongezea kipato katika ujasiriamali katika maombi ya Glorious Worship Team (GWT) (wasikilizaji hawapo pichani).   …Akisisitiza jambo katika mada yake. Wahudhuriaji  wakifuatilia kwa makini.…

 

11 years ago

Habarileo

Diwani Chadema ahamasisha utekelezaji wa Ilani ya CCM

DIWANI wa Kata ya Zombo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Issa Said Libenaga (Chadema), amesema haoni sababu ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi ahamasisha uandishi wa vitabu kwa Kiswahili

RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi amewataka wanazuoni kuandika vitabu vingi kwa lugha ya Kiswahili, kuwasaidia Watanzania kuelewa maudhui ya vitabu hivyo pamoja na kuchangia maendeleo ya nchi.

 

10 years ago

Mtanzania

Butiku ahamasisha kura ya hapana Katiba Mpya

Joseph-ButikuNa Shomari Binda, Musoma
WAJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wamewataka Watanzania kuikataa Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haikuzingatia masilahi ya Watanzania.
Waliyasema hayo juzi katika ukumbi wa MCC, mjini Musoma kwenye mdahalo wa kujadili na kuelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya na kuwataka kupiga kura ya hapana.
Akizungumza katika mdahalo huo, aliyekuwa Mjumbe wa Tume hiyo, Joseph Butiku, alisema mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wassira ahamasisha wananchi kudai daftari la wapiga kura

WATANZANIA wametakiwa kudai haki yao ya kuandaliwa daftari la kudumu la wapiga kura ili chaguzi zinazofanyika kuanzia sasa ziwe huru na halali. Kauli hiyo imetolewa mjini Arusha jana na mwanaharakati...

 

10 years ago

GPL

TUNU PINDA AHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKIANA ILI KUJIKOMBOA

Mke wa Waziri Mkuu,  Mama Tunu Pinda,  akiongea na wanawake(hawapo pichani). ...(Katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mahita (kulia) na baadhi ya wanawake wengie wakikata keki.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani