Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira ahamasisha wananchi kudai daftari la wapiga kura

WATANZANIA wametakiwa kudai haki yao ya kuandaliwa daftari la kudumu la wapiga kura ili chaguzi zinazofanyika kuanzia sasa ziwe huru na halali. Kauli hiyo imetolewa mjini Arusha jana na mwanaharakati...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahimizwa daftari la wapiga kura

WANANCHI wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura ili uchaguzi utakapofika waweze kupata haki yao ya msingi ya  kuwachagua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wahimizwa kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

1

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kushoto ni Mratibu wa Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa.

2

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...

 

10 years ago

Michuzi

NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na mmoja wa watoto waliofika kumpokea wakati akifanya mkutano wa hadhara katika kata ya Maruanga kuhamasisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura.Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga .

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

* Snura, Juma Nature watoa ujumbe kwa wakazi wa Dar, Pwani
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamiiTUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesema imeridhishwa na muamko wa wananchi katika mikoa yote ambao wameuonesha kwenye uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Kwa mujibu wa NEC Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani walikuwa wamepewa fursa hiyo ya kujiandikisha kuanzia Februari 14 hadi Februari 20 mwaka huu ambapo wananchi wengi wa mikoa hiyo wamejitokeza huku wale ambao bado hawajiandikisha...

 

5 years ago

CCM Blog

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YAENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIJINI MWANZA


 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalim akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Magu, mkoani Mwanza, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya chama kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kujiandaa kupiga kura uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu akihutubia mkutano wa hadhara ...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA APONGEZA WANANCHI KWA KUJITOKEZA NA KUBORESHA TAARIFA ZAO KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Kelema alipofanya ziara ya kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Mpiga Kura pamoja na kuangalia uboreshaji wa taarifa za wapiga kura Wilayani Chemba.Sehemu ya wakazi wa Kijiji cha Kelema wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani