Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shikamoo Lowassa

MMGL1424Fredy Azzah na Pendo Fundisha, Mbeya

WATOTO wa mjini wangesema Shikamoo Lowassa. Tunasema hivyo kwani amri ya Jeshi la Polisi nchini inayopiga marufuku maandamano nchi nzima hadi baada ya Uchaguzi Mkuu, haikuweza kufua dafu wakati mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, alipoliteka Jiji la Mbeya kwa saa kadhaa jana.

Yalikuwa ni maandamano makubwa yasiyo rasmi pale wananchi walipojitokeza kumpokea Waziri Mkuu huyo wa zamani, wakati alipowasili...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shikamoo wapambe

Napenda sana vipindi vya redio wakati wa Krismasi au sherehe zingine kubwa. Eti watangazaji wanazunguka na kuwauliza watu wamejiandaa vipi kwa ajili ya sikukuu yenyewe. Kila mahali wahojiwa wanatamba kwamba wamejiandaa vilivyo hivyo pilao na kuku, au mbuzi au nini sijui haiwezi kukosekana.

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA ZIFF: FILAMU YA SHAHADA NA SHIKAMOO MZEE ZAIBUKA NA TUZO

Mwongozaji na msanii wa filamu anayemiliki Studio ya Five Effect, William J. Mtitu akipokea tuzo kwa niaba ya Issa Mussa 'Cloud'. FILAMU ya msanii Issa Mussa 'Cloud' iitwayo Shahada na ile ya wasanii King Majuto, Jacob Steven 'JB' na Shamsa Ford 'Shikamoo Mzee' zimejishinda tuzo jana katika Tamasha la ZIFF linaloendelea Ngome Kongwe Visiwani Zanzibar! ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’

MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani