Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shikamoo wapambe

Napenda sana vipindi vya redio wakati wa Krismasi au sherehe zingine kubwa. Eti watangazaji wanazunguka na kuwauliza watu wamejiandaa vipi kwa ajili ya sikukuu yenyewe. Kila mahali wahojiwa wanatamba kwamba wamejiandaa vilivyo hivyo pilao na kuku, au mbuzi au nini sijui haiwezi kukosekana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Shikamoo Lowassa

MMGL1424Fredy Azzah na Pendo Fundisha, Mbeya

WATOTO wa mjini wangesema Shikamoo Lowassa. Tunasema hivyo kwani amri ya Jeshi la Polisi nchini inayopiga marufuku maandamano nchi nzima hadi baada ya Uchaguzi Mkuu, haikuweza kufua dafu wakati mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, alipoliteka Jiji la Mbeya kwa saa kadhaa jana.

Yalikuwa ni maandamano makubwa yasiyo rasmi pale wananchi walipojitokeza kumpokea Waziri Mkuu huyo wa zamani, wakati alipowasili...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameeleza tofauti yake na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akisema imesababishwa na watu aliowaita wapambe.

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA ZIFF: FILAMU YA SHAHADA NA SHIKAMOO MZEE ZAIBUKA NA TUZO

Mwongozaji na msanii wa filamu anayemiliki Studio ya Five Effect, William J. Mtitu akipokea tuzo kwa niaba ya Issa Mussa 'Cloud'. FILAMU ya msanii Issa Mussa 'Cloud' iitwayo Shahada na ile ya wasanii King Majuto, Jacob Steven 'JB' na Shamsa Ford 'Shikamoo Mzee' zimejishinda tuzo jana katika Tamasha la ZIFF linaloendelea Ngome Kongwe Visiwani Zanzibar! ...

 

9 years ago

Mwananchi

Wapambe wanogesha kampeni Lowassa, Magufuli

Wakati wagombea urais wa vyama vya CCM na Chadema wakijikita kwenye ahadi za mambo watakayofanya iwapo watachaguliwa, wapambe wao wameendelea kufanya kazi ya kujibu kutuma mashambulizi kwenye kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu zinazoendelea kote nchini.

 

11 years ago

GPL

WAPAMBE WAMFUATA VICKY KAMATA WODINI

Stori: Waandishi Wetu
MAMBO yanazidi kuwa mambo kuhusu ile ndoa ya Mbunge Vicky Kamata iliyoyeyuka katika dakika za majeruhi, safari hii Risasi Mchanganyiko limefanikiwa kuwanasa baadhi ya wapambe ambao walitakiwa kuwa kwenye msafara wa harusi hiyo kutoka kanisani hadi ukumbini. Baadhi ya wapambe waliotakiwa kuwepo katika harusi ya Vicky Kamata walipomtembelea wodini Wapambe hao walitia timu kwenye wodi aliyokuwa amelazwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana akemea wapambe kufitinisha wanasiasa

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amekemea wapambe katika siasa na kusema ndiyo chanzo cha kufarakanisha viongozi wakisaka riziki zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume wapambe.Je wewe ni mmoja wao?

Kumekuwa na hii kasumba ya wanaume kujipamba kuhu sekta ya urembo ikiendelea kukuwa sio duniani kote tu bali mabadiliko mengi yanashuhudiwa Afrika

 

10 years ago

Mwananchi

Vijembe, kejeli za wapambe vitaweza kuisaidia Zanzibar?

Ikiwa ni miaka miwili tangu kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amefanya ziara ya kwanza ya kichama visiwani humo akianzia Wilaya ya Mjini

 

11 years ago

Tanzania Daima

JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’

MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani